Hilo jeshi la polisi kwani askari wake huwa wanamtindo wa kugawa pesa!Jeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwaView attachment 2088994
mbona barua yenyewe haijakidhi walichotaman kukisema! huyo askari kaoneka na ofsa wake labda ndiye aliyemkamata! sasa maelezo hayaeleweki kwa baruaJeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa
Yaani taarifa ya ufafanuzi ndio inaleta utata mkubwa kuliko picha zenyewe. Imeandikwa bila kufafanua chochote!!! Imeandikwa Kikanjanjambona barua yenyewe haijakidhi walichotaman kukisema! huyo askari kaoneka na ofsa wake labda ndiye aliyemkamata! sasa maelezo hayaeleweki kwa barua
Mbona kwenye maelezo ya polisi Hakuna au hamkutaja kiasi cha fedha zilizokutwa kwenye Siti ya gari?Jeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
Yani jeshi limeshindwa kukiri hii aibu yenye ushahidi na ithibati isiyoacha shakaJeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
Jeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa