Rushwa kwa polisi ni kama imehalalishwa. Mgao wake unapanda ngazi mpaka kwa igpJeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
Just showing how incompetent jeshi hili lilivyo. Hata hawaelewiki wanataka kusema ninimbona barua yenyewe haijakidhi walichotaman kukisema! huyo askari kaoneka na ofsa wake labda ndiye aliyemkamata! sasa maelezo hayaeleweki kwa barua
Ushauri wa bure kwa IGP:-
1. Polisi wote washonewe uniform ambazo hazina mifuko kama polisi wa Kenya.
2. Polisi wasiruhusiwe kutumia magari binafsi kwenda kwenye shughuli Za kipolisi barabarani.
3. Yatengwe maeneo ambayo polisi watakuwa barabarani na maeneo hayo ziwekwe CCTV camera.
Afadhali mvua imekunya tumeona panapovujaMadhaifu ya tukio hili yamesababishwa na TAKUKURU aliyeatend tukio kuwa mpenda sifa.
Huwezi kumuua Nyoka kwa kumpiga picha.Afadhali mvua imekunya tumeona panapovuja
Sasa ndio wamefafanua nini hapo? Hii ni kauli ya Mh. Rais inafanyiwa kaziJeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
Maneno ya hivi haya hold water, hawa askari na maboss wao lao ni mojaJeshi la polisi kuchukua hatua kali iwapo ushahidi utaonesha askari wake alichukua rushwa.
Kuona picha hizo soma >>Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa
Rushwa rushwa rushwa aibu tupuMbona kwenye maelezo ya polisi Hakuna au hamkutaja kiasi cha fedha zilizokutwa kwenye Siti ya gari?
Pili ni Lini Atakuwa mahakamani?
Tatu, ni nani atakuwa mchunguzi wa hii kesi?
TAKUKURU Mbona hawajaongea chochote?
Kwanini jeshi la polisi halijakiri ?
View attachment 2089094
View attachment 2089095
TrueManeno ya hivi haya hold water, hawa askari na maboss wao lao ni moja