Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
Kafanyaje
ALBERT MSANDO NAKUONYA
ALBERT MSANDO NAKUONYA
Kanya kayajazaKafanyaje
Wapi hukoKanya kayajaza
Kwanza ndio naniKanya kayajaza
WilayaniWapi huko
Mkuu wa Wilaya fulani hapo DusalamuKwanza ndio nani
Wasalaam.
Waumini wakitawanywa na police kwa mabomu baada ya kusisitiza wanaendelea na maombi nje ya kanisa.
Wakiagizwa kula mavi Yao watakula?Tusiwalaumu sana police, wao wanaagizwa tu na kazi yao ni kutekeleza na si vinginevyo, na wameapa kuwatii viongozi wao, sasa watakula wapi endapo watakaidi?
Kwa aina hii ya miandiko ya hao waumini naanza kuwaelewa kwanini waliambiwa Amina Chifupa na Kanumba watafufuliwa na bado hawakushtukaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church).
Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali.
Baadhi ya mabango ambayo yameoneka yakiwa yameshikiriwa na waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima) lililopo eneo la Ubungo leo Juni 15, 2025 yakiwa na jumbe mbalimbali.
Ikumbukwe Waumini hao wamekusanyika eneo la umbali wa takribani mita 300 tokea lilipo Kanisa hilo ambalo limezungukwa na askari, ambapo wamefanya maombi na kuimba nyimbo kabla ya kuanza kuelekea eneo la Kanisa ambapo wametawanywa kwa milio ya risasi ambazo zilifyatuliwa juu na askari Polisi.
Awali kabla ya waumini kuanza maandamano, Jeshi la Polisi liliwataka watawanyike eneo hilo, lakini waamini wanasisitiza kuwa wamekuja kusali.