Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

Jasusi la mbinguni lipo wapi liongoze waumini wake?
Nchi hii bila kukaza hakuna utakachopata.
 
Wasalaam.
Waumini wakitawanywa na police kwa mabomu baada ya kusisitiza wanaendelea na maombi nje ya kanisa.
 

Attachments

  • 44d3cff379fdca7de8f2889b9e1dc885_1749995512319.mp4
    8.3 MB
jana si wamesema barua ni invalid sasa icho polisi wanachofanya ni nini ?
 
Niwqpongeze polisi na IGP na mkuu wa polisi Dar RPC wa Dar kwa kuhakikisha barabara inakuwa wazi shughuli za kiuchumi,kibiashara nk zinaendelea kwenye barabara bila kikwazo
 
Huu mgogoro wa Israel na Iran umetuweka bize kwelikweli ndio maana hizi habari hazijatrend.
 
Samia hii vita yako na Ukristo itakuacha pabaya sana, Mungu hadhihakiwi.
 
Kwa aina hii ya miandiko ya hao waumini naanza kuwaelewa kwanini waliambiwa Amina Chifupa na Kanumba watafufuliwa na bado hawakushtuka
 
Kiongozi anaona ni muhimu kwake kukutana na viongozi wa simba na yanga kujadili mabishano badala ya kukutana na viongozi wa kiimani watafute majibu ya haki na uhuru wa kufanya ibada..kwa hali km hii kuna kiongozi hapo? ukiwa ccm nadhani kuna maagano yaliwekwa kuwafanya wanachama kuwa mazombie..uwezo wa kuona mabaya yanayofanywa na viongozi wao haupo..anakuwa hana huo ufahamu..hawa watu ni wa kuwahurumia wanaccm wanahitaji msaada pia, tena mkubwa tusiwalaumu!
 
Murilo unaendeleaje huko. Tokea Oct 29, umekuwa adimu sana. Hata maandamano ya waliokuwa wanaenda ubalozi wa vatcan hukuyaona.

Wala hukudhani kuwa wanaweza enda kuleta vurugu. Ukaeaacha wakaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…