Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Waende mahakamaniHawana haki ya kukata rufaa?! Acheni cheap politics!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kumtoa ally kamwe ofisi nishtueni nije niongeze nguvu hakuna kuleta ubishii kwenye timu za watu wasepee!
Unashabikia dhuluma ?Hv unajua simba ilianza kushuka performance yalipoanza haya mambo?
Rufaa inakatwa mahakamani.Hawana haki ya kukata rufaa?! Acheni cheap politics!
Ni kesho asubuhiSiku ya kumtoa ally kamwe ofisi nishtueni nije niongeze nguvu hakuna kuleta ubishii kwenye timu za watu wasepee!
HakikaRufaa inakatwa mahakamani.
Klabuni wanapaswa kuondoka.
Press conference hawazuiwi, ni suala binafsi, wanaweza kufanyia Serena Hoteli au Popo bawa Bar, au nyumbani kwa Eng. Hersi. Sio Klabuni.
You know, you ain't gotta go home, but you need to leave!
Mbona unakua mjinga kiasi hichi. Unaleta siasa zako za ccm na chadema kwenye soka. Hao wazee wakalee wajukuu hawawezi ifanya yanga ikawa team ya heshima kama ilivyo sasa, just some few desperate oldiesUnashabikia dhuluma ?
Hii style yako ya nywele kwenye avatar picha utadhani ndege joni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNi kesho asubuhi
Yupiiu huyoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii style yako ya nywele kwenye avatar picha utadhani ndege joni.
Mbona magu alimnyima membe kufanya press conference serena?Rufaa inakatwa mahakamani.
Klabuni wanapaswa kuondoka.
Press conference hawazuiwi, ni suala binafsi, wanaweza kufanyia Serena Hoteli au Popo bawa Bar, au nyumbani kwa Eng. Hersi. Sio Klabuni.
You know, you ain't gotta go home, but you need to leave!
Unajua kinachoweza kukupata kwa kudharau Mahakama?Mbona unakua mjinga kiasi hichi. Unaleta siasa zako za ccm na chadema kwenye soka. Hao wazee wakalee wajukuu hawawezi ifanya yanga ikawa team ya heshima kama ilivyo sasa, just some few desperate oldies
Kule Ulaya sio jukumu la aliyeshinda kesi kwenda mwenyewe kubadilisha makufuli. Anakwenda Sherif Deputy, Msaidizi Mrakibu Mwandamizi wa Mkuu wa Polisi Wilaya.Mbona magu alimnyima membe kufanya press conference serena?