Polisi zuieni Mkutano ulioitishwa na viongozi wa Yanga waliovuliwa uongozi na Mahakama, hawatambuliki kama viongozi halali

Polisi zuieni Mkutano ulioitishwa na viongozi wa Yanga waliovuliwa uongozi na Mahakama, hawatambuliki kama viongozi halali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.

Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.

Mungu Wabariki Wazee.

PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204

Screenshot_2024-07-17-00-57-13-1.png
 
Hawana haki ya kukata rufaa?! Acheni cheap politics!
Rufaa inakatwa mahakamani.

Klabuni wanapaswa kuondoka.

Press conference hawazuiwi, ni suala binafsi, wanaweza kufanyia Serena Hoteli au Popo bawa Bar, au nyumbani kwa Eng. Hersi. Sio Klabuni.

You know, you ain't gotta go home, but you need to leave!
 
Mbona magu alimnyima membe kufanya press conference serena?
 
Mbona magu alimnyima membe kufanya press conference serena?
Kule Ulaya sio jukumu la aliyeshinda kesi kwenda mwenyewe kubadilisha makufuli. Anakwenda Sherif Deputy, Msaidizi Mrakibu Mwandamizi wa Mkuu wa Polisi Wilaya.

Huku kwetu eti wazee waende wenyewe kukaza hukumu. Kwanza Ulaya hukumu haikazwi. Manake hailegei, imekaza tangia hapo ilipotolewa.
 
Pia anatakiwa achie ile nafasi nyingine aliyopewa CUF...nilijua tu maana huyu Hersi anatabia za kujipendekeza na umbea..mnakumbuka alienda kumuambia rais wa FIFA eti kaifunga Simba sc tano..huyu jamaa anatabia za kike na za kichawi ni mkxndu aisee
 
Back
Top Bottom