Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.
Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.
Mungu Wabariki Wazee.
PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!
- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204