PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
WanaCCM wanabomoana mangumi
Wanachomeana magari!

Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama

Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
 
lile game la nyoka huwa akishakuwa mrefu sana huwa anajiuma mwenyewe usipojua kumchengesha!, sasa ndo hii na hii kwa sisi wataalum wa mambo tunasema "inajishenyenta!".
 
Acha tuu mkuu, tena policcm walivyo waajabu watakuja na matamko kuwa hizo furugu ni za chadema na wala siyo fisiem
 
Back
Top Bottom