Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Aug 4, 2025 #1 WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Aug 4, 2025 #2 Idugunde said: WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ? Click to expand... Credibility ya hiyo taasis ni down to 0, double standards nyingi sana
Idugunde said: WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ? Click to expand... Credibility ya hiyo taasis ni down to 0, double standards nyingi sana
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,006 Reaction score 9,542 Aug 4, 2025 #3 wala wasiingilie acha iwe hivyo hivyo
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Aug 4, 2025 #4 lile game la nyoka huwa akishakuwa mrefu sana huwa anajiuma mwenyewe usipojua kumchengesha!, sasa ndo hii na hii kwa sisi wataalum wa mambo tunasema "inajishenyenta!".
lile game la nyoka huwa akishakuwa mrefu sana huwa anajiuma mwenyewe usipojua kumchengesha!, sasa ndo hii na hii kwa sisi wataalum wa mambo tunasema "inajishenyenta!".
BLUE DOG JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 971 Reaction score 1,547 Aug 4, 2025 #5 Acha tuu mkuu, tena policcm walivyo waajabu watakuja na matamko kuwa hizo furugu ni za chadema na wala siyo fisiem
Acha tuu mkuu, tena policcm walivyo waajabu watakuja na matamko kuwa hizo furugu ni za chadema na wala siyo fisiem
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,492 Reaction score 18,258 Aug 4, 2025 #6 Hao polisi ni tawi la CCM