Senator malala yuko ndani mbonaSiasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!..
Tofauti ya kuwafuata majumbani saa tisa usiku, au kumfurusha Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuagiza aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote lakini serikali imekaidi amri ya mahakama, hiyo ndio tofauti unayosema ya serikali kukaidi amri ya mahakana?Siasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!..
Nani kakudanganya!?Senator malala yuko ndani mbona
Licha ya mapungufu tumepiga hatua. Wewe unaangalia tuu madudu. Na hauangalii faida pia!..Tofauti ya kuwafuata majumbani saa tisa usiku, au kumfurusha Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuagiza aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote lakini serikali imekaidi amri ya mahakama, hiyo ndio tofauti unayosema ya serikali kukaidi amri ya mahakana?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Shida za wakenya za msingi Hakuna hata moja iliyotatuliwaNdio nikakwambia jambo usilolijua ni kama usiku wa wa giza. Wakenya ni watu wa kutaka zaidi. Hakuna kutosheka na serikali. Katiba mpya imeleta tofauti kubwa hadi kwenye zile sehemu raia walihisi wametelekezwa.
Mature debate, even uhuru is scared.https://youtu.be/yH2rlPsurRcTofauti ya kuwafuata majumbani saa tisa usiku, au kumfurusha Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuagiza aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote lakini serikali imekaidi amri ya mahakama, hiyo ndio tofauti unayosema ya serikali kukaidi amri ya mahakana?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hatua ipi ya maana kama wizi, corruption, hunger, insecurity, water scarcity, unemployment, poor health care system na slums vinazidi kuongezeka?,Licha ya mapungufu tumepiga hatua. Wewe unaangalia tuu madudu. Na hauangalii faida pia!..
Ni rahisi kuandika orodha kwa hisia, lakini sisi Wakenya tunajitambua na tunajua mbele iko sawa. Magatuzi saa hii yanapaa kimaendeleo kupaa!..Shida za wakenya za msingi Hakuna hata moja iliyotatuliwa
1)Land injustice
2)Unemployment
3)Corruption
4)Tribalism/nepotism
5)Police brutality/Insecurity
6)Hunger
7)Poor health service
8) Higher costs of living
9)Clean and Enough safe water
Kipi kilichotatuliwa na katiba Mpya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya is on another level my friend ,Shida za wakenya za msingi Hakuna hata moja iliyotatuliwa
1)Land injustice
2)Unemployment
3)Corruption
4)Tribalism/nepotism
5)Police brutality/Insecurity
6)Hunger
7)Poor health service
8) Higher costs of living
9)Clean and Enough safe water
Kipi kilichotatuliwa na katiba Mpya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Maendeleo yapi zaidi ya hayo niliyotaja hapo juu, au kuongezeka kwa rushwa ndio maendeleo?Ni rahisi kuandika orodha kwa hisia, lakini sisi Wakenya tunajitambua na tunajua mbele iko sawa. Magatuzi saa hii yanapaa kimaendeleo kupaa!..
Hatutaki maneno, sisi tunataka kuona rushwa inapungua, wakenya hawafi kwa njaa, slums zinapungua, insecurity and police brutality vinakwisha, wananchi wanapata maji safi na salama, wananchi wanarudishiwa ardhi iliyoporwa na wanasiasa, ukabila/nepotism vinakwisha. Hayo maneno matupu yalikuwepo miaka yote lakini wizi na intimidation vinaongezeka kwa kasi zaidiKenya is on another level my friend ,
Listen here.https://youtu.be/XSK55w1Edro
It can only happen in Kenya.https://youtu.be/eq2P9A6iSxAHatua ipi ya maana kama wizi, corruption, hunger, insecurity, water scarcity, unemployment, poor health care system na slums vinazidi kuongezeka?,
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Chukulia vile utakavyo, kuna uzi hapa kevin85ify anaelezea vile exports za Kenya zinapaa. Unadhania ni kwa mazingira uliyoyataja?. Tuko hapa nanyi ile siku mtatupiku kiuchumi nitasalimu amri!. 🤣Maendeleo yapi zaidi ya hayo niliyotaja hapo juu, au kuongezeka kwa rushwa ndio maendeleo?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Export inapaa lakini pesa yote inaishia mifukoni mwa wakikuyu wachacheChukulia vile utakavyo, kuna uzi hapa kevin85ify anaelezea vile exports za Kenya zinapaa. Unadhania ni kwa mazingira uliyoyataja?. Tuko hapa nanyi ile siku mtatupiku kiuchumi nitasalimu amri!. [emoji1787]
Hahahaha, this can only happen in KenyaIt can only happen in Kenya.https://youtu.be/eq2P9A6iSxA
Kile kitu umepost ni Uhuru wakujieleza ambavyo ni vitu vya msingi kabisa ambavyo hamna. Halafu export zitaishiaje kwa mifuko ya watu binafsi ilihali mashirika ya kibinafsi na Wakenya wenyewe wanafanya direct exports?.. 🙈🤸🤸
Nimepost wizi wa fedha za serikali sio uhuru wa kujiekeza, hivi kwanini hamhitambui kiasi hiki?, kufichia wizi unasema ni uhuru wa kujiekeza.stupid.Kile kitu umepost ni Uhuru wakujieleza ambavyo ni vitu vya msingi kabisa ambavyo hamna. Halafu export zitaishiaje kwa mifuko ya watu binafsi ilihali mashirika ya kibinafsi na Wakenya wenyewe wanafanya direct exports?.. [emoji85][emoji1732][emoji1732]
Hio ndio tabia yenu kutokwa na matusi mkiishiawa hoja. Unadhania kufichua madudu ndani ya serikali ni jambo ambalo ni rahisi kutendeka bila Uhuru wa kujielezea?. Pamoja na corruption yetu bado tuko mbele, hilo wazi kabisaa. Na katiba yetu tutazidi kuiboresha!.✊Nimepost wizi wa fedha za serikali sio uhuru wa kujiekeza, hivi kwanini hamhitambui kiasi hiki?, kufichia wizi unasema ni uhuru wa kujiekeza.stupid.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndio yanapunguziwa hela, unadhani ugomvi wa hao senators ni nnNi rahisi kuandika orodha kwa hisia, lakini sisi Wakenya tunajitambua na tunajua mbele iko sawa. Magatuzi saa hii yanapaa kimaendeleo kupaa!..
Eeehn na hadi sasa kumeshindikana. Demokrasia kwa ubora wake!..Ndio yanapunguziwa hela, unadhani ugomvi wa hao senators ni nn