johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alikukuta na bikini kiulaiiiiini ππAmazon ...hii dunia hakuna pakujifichaππ
Ukweli kabanwaMbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya kumletea Lowassa
Alisahau kuwa Tundu Lisu ni Taasisi na sasa imemlia yeye timing na kumpandia huko huko Kwenye Alfa na Omega
Mbowe analia machozi na kuweweseka " imekuwa ghafla Mno"
Chadema inakufa kwa sababu Mbowe alimuunderate Lisu
CCM ni furaha na kurukaruka ππ
Tena unabaki na heshima kwenye taasisi husikaKufanya makubwa siyo ishara ya kukubalika siku zote katika uongozi,wakati mwingine kiongozi achia uongozi kwa Amani tu,Yaishe.
Sure Mbowe apumzikeHalafu inashangaza kwenye utafiti wangu mdogo nilioufanya kwa kuwahoji baadhi ya Makamanda; wengi wanamuunga mkono Mh. Tundu Lissu, na sababu kuu walizozitoa ni hizi hapa;
1. Mh. Mbowe amekitendea chama chetu mambo mengi makubwa, ila ifikie wakati apumzike sasa ili na wengine nao waendeleze pale alipoishia.
2. Chama kinahitaji mabadiliko ya uongozi ili kuondoa ile dhana potofu inayotumiwa na wapinzani wetu, ya kukihusisha chama chetu na ukoo fulani, kabila fulani, saccos ya mtu fupani, ukanda fulani, nk.
Hizi ni sababu kuu mbili ambazo makamanda wengi wanazitoa. Ila kwa kupitia nguvu ya pesa na ushawishi; lolote linaweza kutokea.
hpn mboe ana haki kikatiba kugombea tusisahau hilo sio busara kumlazimisha ni uhuru wakeMbowe kama ana nia njema na CHADEMA ni bora ajitoe watu wamemdharau sn
Siku wabunge wa CCM wakibadili katiba msilalamike wana haki piahpn mboe ana haki kikatiba kugombea tusisahau hilo sio busara kumlazimisha ni uhuru wake
CHADEMA inaenda kufutikaA good dancer knows when to leave the stage! Ila kwakuwa ni sikio la kufa dawa haitasaidia chochote.ukweli ni kwamba FAM atashinda ila chama kitapasuka vipande vipande
Acha ukabila kuna wachaga wengi sn wanamtaka Lisu, hata Anania Nkya anamtaka Lisu + LemaNa.wasipoangalia mbowe.atakuja.kumuachia.chama.James.mbowe.
Hapo ndipo.watu.wanakosana na wachaga kwa ubinafsi.
Chama kinaenda kumfia mbowe akingangania uenyekiti. Bonge la.ushindi kwa ccm. Na ndio.maana watu.wanahitaji mabadiliko ya katiba kuwe na.independent candidates
usikute chadema wamefanya iv Kwa makusudi afu sisi tunacheza Ngoma bila kujua aina gani ya wimbo!? maana wamefanikiwa kushika head lines Kwa siku kadhaa iv mfululizo sio mtandaoni,vijiweni,magazetini, radio n.k! hyo ndio tafsiri ya chama kukomaa!?Mbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya kumletea Lowassa
Alisahau kuwa Tundu Lisu ni Taasisi na sasa imemlia yeye timing na kumpandia huko huko Kwenye Alfa na Omega
Mbowe analia machozi na kuweweseka " imekuwa ghafla Mno"
Chadema inakufa kwa sababu Mbowe alimuunderate Lisu
CCM ni furaha na kurukaruka ππ
Kijana, unajua maana ya kuliwa wewe? Umri wako bado nigekujuza.Mbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya kumletea Lowassa
Alisahau kuwa Tundu Lisu ni Taasisi na sasa imemlia yeye timing na kumpandia huko huko Kwenye Alfa na Omega
Mbowe analia machozi na kuweweseka " imekuwa ghafla Mno"
Chadema inakufa kwa sababu Mbowe alimuunderate Lisu
CCM ni furaha na kurukaruka ππ
ni sawa wengi wapeSiku wabunge wa CCM wakibadili katiba msilalamike wana haki pia
Tundu Lisu hajakuzwa TLP πππKijana, unajua maana ya kuliwa wewe? Umri wako bado nigekujuza.
asa ni hivi CDM haifi na jamaa yenu anarudi TLP chama kilichomkuza Na taarifa ni kwanba kashaanza kuongea na uongozi uliopo ili waipokee sunami toka CDM.
Kifupi, bora hata Dr. alitumia akili walau kidogo wakati anachukua zile hela za kuimaliza CDM