johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya kumletea Lowassa
Alisahau kuwa Tundu Lisu ni Taasisi na sasa imemlia yeye timing na kumpandia huko huko Kwenye Alfa na Omega
Mbowe analia machozi na kuweweseka " imekuwa ghafla Mno"
Chadema inakufa kwa sababu Mbowe alimuunderate Lisu
CCM ni furaha na kurukaruka 😂😂