Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.
Chagua msanii unayemkubali kisha vote.
Team zote mbili karibuni sana
Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)[/QUOTE
Kwani ni nani kati yao Mwenye tuzo nyingi za kitaifa na kimataifa?hope diamond ni zaidi,otherwise cjui mnaangalia vigezo vipi
kwani tuzo ndo nini mbona wizkid ana tuzo chache kuliko davido lakini davido anataka collabo na wiz kamzingua just organization of pple tu swala la awards
Maneno ya mkosaji mkuu me simpingi wala sina chuki na kiba lakin tuzo ni kitu moja kikubwa sana kwa msanii yeyote yule na hata msanii akikosa inauma flan hiv bac tu hatujui inakuwa siri yakekwani tuzo ndo nini mbona wizkid ana tuzo chache kuliko davido lakini davido anataka collabo na wiz kamzingua just organization of pple tu swala la awards
sawa ila hazina nafasi kubwa katika kumtambua msanii mzuri bali zinaongeza nguvu ya kazi mbona christian belle9 hawakupata tuzo ktma but ni wasanii wazuri tu nadhani umeelewa point yangu 20%yeye ndo kapata laana ya tuzo kabisaa duu very sadManeno ya mkosaji mkuu me simpingi wala sina chuki na kiba lakin tuzo ni kitu moja kikubwa sana kwa msanii yeyote yule na hata msanii akikosa inauma flan hiv bac tu hatujui inakuwa siri yake
Mkuu Sawa ni wasanii wazuri lakin juhud gan wanafanya waweze kutambulika kimataifa mziki c kipaji tu au kuwa msanii mzuri ubunifu pia nao muhim!!mond baada ya kupata tuzo 7 ktma hakuvimba kichwa, kubweteka alizidi kukaza zilimfanya azidishe juhud zaid tofaut na 20% alie ridhika na ktma! Tuzo ndo zinamfanya msanii azidi kujuikana na kusambaza kazi zake na kupata show nchi nyingi!!sawa ila hazina nafasi kubwa katika kumtambua msanii mzuri bali zinaongeza nguvu ya kazi mbona christian belle9 hawakupata tuzo ktma but ni wasanii wazuri tu nadhani umeelewa point yangu 20%yeye ndo kapata laana ya tuzo kabisaa duu very sad
kura yako imeharibika maana umetoa maelezo badala ya kupiga kurapoll nyingine ucheshi tu ni sawa na kufanya poll ya mayweatger na francis cheka mpuuzi pekee ndo atahangaikq kupiga kura ..diamond da best
na ww pia kura yako imeharibikadiamond platnumz mzee wa kunyoosha.
sawa tuzo zina nafasi kubwa ila sio 100% msanii kama wizkid angekuwa america angekuwa billionare yule dogo anajua hadi anapitilizaMkuu Sawa ni wasanii wazuri lakin juhud gan wanafanya waweze kutambulika kimataifa mziki c kipaji tu au kuwa msanii mzuri ubunifu pia nao muhim!!mond baada ya kupata tuzo 7 ktma hakuvimba kichwa, kubweteka alizidi kukaza zilimfanya azidishe juhud zaid tofaut na 20% alie ridhika na ktma! Tuzo ndo zinamfanya msanii azidi kujuikana na kusambaza kazi zake na kupata show nchi nyingi!!
Sawa nakubal mkuu lakin mziki wa nigeria usifananishe na bongo sa hiv africa nzima mziki wa nigeria ndo una hit! Mond ka c o tuzo na collabo na wanaija asinge hit africa nzimasawa tuzo zina nafasi kubwa ila sio 100% msanii kama wizkid angekuwa america angekuwa billionare yule dogo anajua hadi anapitiliza