Poll: Diamond vs Alikiba

Poll: Diamond vs Alikiba

Ni nani msanii mkali kati ya hawa?

  • Diamond

    Votes: 13 40.6%
  • Alikiba

    Votes: 19 59.4%

  • Total voters
    32
hata wauza karanga ikiwa mmoja chini ya mti na mwingine barabarani mwisho wa siku wmuhimu kwao ni PESA walizopata na pia nani anatingisha vichwa vya watu hata wakiamshwa usingizini . Ohhh my Diamond aka Almasi aka Chibu aka baba Tiffah aka mume wa Zari.
 
​Tupige kura ili iweje ??????? mana sisi wa DIAMOND tunampigia kila sekunde kwenye tuzo za kimataifa na tumeshaapa zikija zile tuzo zenu za hapa hapa hatupigi kura.
 
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.

Chagua msanii unayemkubali kisha vote.

Team zote mbili karibuni sana

Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)[/QUOTE

Kwani ni nani kati yao Mwenye tuzo nyingi za kitaifa na kimataifa?hope diamond ni zaidi,otherwise cjui mnaangalia vigezo vipi

kwani tuzo ndo nini mbona wizkid ana tuzo chache kuliko davido lakini davido anataka collabo na wiz kamzingua just organization of pple tu swala la awards
 
Last edited by a moderator:
kwani tuzo ndo nini mbona wizkid ana tuzo chache kuliko davido lakini davido anataka collabo na wiz kamzingua just organization of pple tu swala la awards
Maneno ya mkosaji mkuu me simpingi wala sina chuki na kiba lakin tuzo ni kitu moja kikubwa sana kwa msanii yeyote yule na hata msanii akikosa inauma flan hiv bac tu hatujui inakuwa siri yake
 
sawa ila hazina nafasi kubwa katika kumtambua msanii mzuri bali zinaongeza nguvu ya kazi mbona christian belle9 hawakupata tuzo ktma but ni wasanii wazuri tu nadhani umeelewa point yangu 20%yeye ndo kapata laana ya tuzo kabisaa duu very sad
 
Mkuu Sawa ni wasanii wazuri lakin juhud gan wanafanya waweze kutambulika kimataifa mziki c kipaji tu au kuwa msanii mzuri ubunifu pia nao muhim!!mond baada ya kupata tuzo 7 ktma hakuvimba kichwa, kubweteka alizidi kukaza zilimfanya azidishe juhud zaid tofaut na 20% alie ridhika na ktma! Tuzo ndo zinamfanya msanii azidi kujuikana na kusambaza kazi zake na kupata show nchi nyingi!!
 
poll nyingine ucheshi tu ni sawa na kufanya poll ya mayweatger na francis cheka mpuuzi pekee ndo atahangaikq kupiga kura ..diamond da best
 
kura yako imeharibika maana umetoa maelezo badala ya kupiga kura
 
Mkuu Sawa ni wasanii wazuri lakin juhud gan wanafanya waweze kutambulika kimataifa mziki c kipaji tu au kuwa msanii mzuri ubunifu pia nao muhim!!mond baada ya kupata tuzo 7 ktma hakuvimba kichwa, kubweteka alizidi kukaza zilimfanya azidishe juhud zaid tofaut na 20% alie ridhika na ktma! Tuzo ndo zinamfanya msanii azidi kujuikana na kusambaza kazi zake na kupata show nchi nyingi!!
sawa tuzo zina nafasi kubwa ila sio 100% msanii kama wizkid angekuwa america angekuwa billionare yule dogo anajua hadi anapitiliza
 
Sawa nakubal mkuu lakin mziki wa nigeria usifananishe na bongo sa hiv africa nzima mziki wa nigeria ndo una hit! Mond ka c o tuzo na collabo na wanaija asinge hit africa nzima
 
Back
Top Bottom