Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Na ule msamaha si baada ya kusukwa huko gerezani..!!!! Toka lini mzungu akampenda mwafrika kama hana maslahi?
Apo kweli ndo maana hadi leo wazungu wanampromote sana madiba ila watu kama Nyerere, samora, nkurumah, lumumba na sankara siwasikiagi kwenye media za mbele ila gadaf wanamchafua tuu wa watu.
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.

Kwani kuuwa ndiyo nini si walienda vitani au unafikiri walienda harusini, na askari wenu walioenda kwenye usaidizi wa kivita kama congo, kwa mkurunzinza - usijifanye unauchungu sana Unaulizwa hili unajibu lile
 
Atakayekupinga ana MAPEPO makali sana, na ni mtu ambae ni MZITO SANA KICHWANI. Ukitaja Mchango wa Afrika utamtaja Hayat Nyerere, ubaya ni kwamba hakuna kumbukumbu zake muhimu.

Madiba ni nothing kwa Afrika ila kwa wazungu ni shujaa, jamaa aliamua kuikabidhi SA kwa wazungu baada ya kutoka jela.
Umefafanua vizuri apo alichokifanya ni kuikabizi s.a kwa wazungu sio kuwasamehe wazungu kama inavojulikana
 
Akili yako ni ya Kibashite, Mandela kaongoza miaka 5 tu tena ambapo nchi ndiyo imepata uhuru pekee, Gadaffi miaka 42, S.A na Libya wapi penye maendeleo? Note mchango wa amani, busara, hekima na maarifa ni mkubwa kuliko mchango wa fedha.
S.A ilkua stable kichumi before hata uhuru coz wajanja walkua wameshatimba pale.
 
Hakukuwa na haja ya kunitusi,matusi hayatafanya hoja yako kuwa yenye nguvu.

Kati ya SA na Libya ni nchi gani ilikuwa na huduma za kijamii zenye hadhi ya juu??

Ni kiongozi gani kati ya Mandera na Gaddafi ameisaidia zaidi Africa??

Ukijibu maswali haya utakuwa umejibu swali la mleta hoja. Mleta hoja hakuuliza nani ana busara au hekima zaidi kati ya viongozi aliowataja wala hakuuliza mchango wao kwa nchi zao binafsi bali kwa Africa.

Nikusihi ujenge hoja sio matusi.
Afu atafakari maisha ya mwafrika enzi za madiba S.A na Libya enzi za Gadaf
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Hicho ndicho kilichomuharibia cv. Ila Jamaa yupo makini sana
 
Hakukuwa na haja ya kunitusi,matusi hayatafanya hoja yako kuwa yenye nguvu.

Kati ya SA na Libya ni nchi gani ilikuwa na huduma za kijamii zenye hadhi ya juu??

Ni kiongozi gani kati ya Mandera na Gaddafi ameisaidia zaidi Africa??

Ukijibu maswali haya utakuwa umejibu swali la mleta hoja. Mleta hoja hakuuliza nani ana busara au hekima zaidi kati ya viongozi aliowataja wala hakuuliza mchango wao kwa nchi zao binafsi bali kwa Africa.

Nikusihi ujenge hoja sio matusi.
Brother una akili sana aiseeee na hongera kwa utulivu wako
 
Kiongozi yoyote ambaye akiondoka madarakani nchi inachafuka, ni kiongozi wa ovyo! Ni wale "one man leadership", hawaachi legacy! Gaddafi, Magufuli, Amin, Mugabe, Bashir, Museveni and likes!
 
Kiongozi yoyote ambaye akiondoka madarakani nchi inachafuka, ni kiongozi wa ovyo! Ni wale "one man leadership", hawaachi legacy! Gaddafi, Magufuli, Amin, Mugabe, Bashir, Museveni and likes!

Kaondolewa na Mabeberu wakishirikiana na vibaraka wao kwa vita!
Baada ya kuondoka, mabeberu wamesimika vibraka hao!
lielewe hilo!!
 
Back
Top Bottom