xungura
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 309
- 214
Hakuna kama gadafi Mandela alikuwa mpiga debe tu na ndio Maaana wazungu walimpenda na kumpa misifa kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani WW hujui hata mojaghadaf kafny nn mpk afananishwe na madiba?
Kwa lipi kubwa alilofanya kwa mabeberu zaidi YA Wao wenyewe kumpa uhuru tuBaba Madiba hana wakufananishwa naye hapa duniani.
Fuatilia historia yakeKwa lipi kubwa alilofanya kwa mabeberu zaidi YA Wao wenyewe kumpa uhuru tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaguzi wa rangi huo mkuuShujaa wa afrika ni muafrika sio muarabu
Sent from my 4016X using JamiiForums mobile app
Unaweza kutatajia hao mashujaa ambao hawatajwi..?Mandela na Gaddafi, hakuna shujaa wa Africa.
Hao walikuwa na matangazo tu,Mashujaa wa kweli wa Africa hawatajwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitaka Africa iwe ya dini yao tu?Misaada ya ghadaf ilikuwa ya kuzuga na kufanya Islamization of Africa toward Western Power
Sent using Jamii Forums mobile app
Ideological help. Wote ni mashujaaMi ghadafi.Kwani Mandela amewahi msaidia nani Africa?
HUNA UNALOLIJUA MKUU KUHUSU GADAFI..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
GADAFI SHUJAA WA AFRIKA NZIMAIdeological help. Wote ni mashujaa
ile south africa imejengwa na wazungu na sio wazulu...Mkuu Gadafi zaidi ya kujenga misikiti kuna nini kingine amefanya kwenye nchi za watu? toa mfano wa huduma bora ambazo zipo Libya alafu S.A hazipo
Sawa Zumaile south africa imejengwa na wazungu na sio wazulu...
i hope you are sincere kwa sababu nachokwambia ndio factSawa Zuma
Sawai hope you are sincere kwa sababu nachokwambia ndio fact