Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?


  • Total voters
    244
Ni kweli Gadafi alikuwa na ugomvi na Tanzania. But despite that he will always be remembered as a true African hero.
 
Ghadaf na Mandela wote hovyo hakuna hata mmoja ninayeweza kumpa kira yangu hapo
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
HUNA UNALOLIJUA MKUU KUHUSU GADAFI
 
Mkuu Gadafi zaidi ya kujenga misikiti kuna nini kingine amefanya kwenye nchi za watu? toa mfano wa huduma bora ambazo zipo Libya alafu S.A hazipo
ile south africa imejengwa na wazungu na sio wazulu...
 
Back
Top Bottom