mtotowamamanjungu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 351
- 273
Shujaa wa afrika ni muafrika sio muarabu
Sent from my 4016X using JamiiForums mobile app
Sent from my 4016X using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo sio vigezo vyakua kiongozi bora.ata ivyo unaongelea kufanyika kwa hizo huduma wakat enzi za gadafi libya watu walikua hawazid milion 7.acha hisia.1. Nyumba bora kwa kila mwanalibya. SA bado mamilioni ya watu wanaishi kwenye slum.
2. Kusomeshwa bure kwa kila mwanalibya. SA kila kitu ni kulipia.
3. Umeme wa bure kwa kila mwanalibya . SA unalipia kila kitu.
4. Apartments kwa kila graduate na kuozwa mke/Mme na utaanza kulipa rent ukipata ajira. SA hakuna hili.
5. Libya ilikuwa ikifadhili kwa pesa AU. SA haifanyi hivyo.
6. Libya ilikuwa inakopesha nchi za kiafrika bila riba na misaada ya kimaendeleo isiyo mikopo. SA haifanyi hivyo.
7. NK.
Tafadhali usimlinganishe huyo gaidi Gadafi na Icon wa dunia Mandela! SheeeeMuamar gadafi....huyo Mandela "ushujaa" wake ni kukaa jela mengine aliyoyafanya ni ya kawaida sana, tena yalifanywa na wapigania Uhuru wenzie
Gadaf yule aliwauwa vijana wetu vita ya Kagera au mwingine au kwasababu kawajengea misikiti ndio kawa shujaa labda shujaa wenu kwangu mimi huyu ni gaidi sawa na Osama.
Upoo nje sana ya mada boss wanguNani mwanaume wa Dar kati ya Bashite na Lemutuz?
Hata mimi nilitaka kujibu hivyoMuamar gadafi....huyo Mandela "ushujaa" wake ni kukaa jela mengine aliyoyafanya ni ya kawaida sana, tena yalifanywa na wapigania Uhuru wenzie
asante