Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Na ule msamaha si baada ya kusukwa huko gerezani..!!!! Toka lini mzungu akampenda mwafrika kama hana maslahi?
Apo kweli ndo maana hadi leo wazungu wanampromote sana madiba ila watu kama Nyerere, samora, nkurumah, lumumba na sankara siwasikiagi kwenye media za mbele ila gadaf wanamchafua tuu wa watu.
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.

Kwani kuuwa ndiyo nini si walienda vitani au unafikiri walienda harusini, na askari wenu walioenda kwenye usaidizi wa kivita kama congo, kwa mkurunzinza - usijifanye unauchungu sana Unaulizwa hili unajibu lile
 
Umefafanua vizuri apo alichokifanya ni kuikabizi s.a kwa wazungu sio kuwasamehe wazungu kama inavojulikana
 
Akili yako ni ya Kibashite, Mandela kaongoza miaka 5 tu tena ambapo nchi ndiyo imepata uhuru pekee, Gadaffi miaka 42, S.A na Libya wapi penye maendeleo? Note mchango wa amani, busara, hekima na maarifa ni mkubwa kuliko mchango wa fedha.
S.A ilkua stable kichumi before hata uhuru coz wajanja walkua wameshatimba pale.
 
Afu atafakari maisha ya mwafrika enzi za madiba S.A na Libya enzi za Gadaf
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Hicho ndicho kilichomuharibia cv. Ila Jamaa yupo makini sana
 
Brother una akili sana aiseeee na hongera kwa utulivu wako
 
Kiongozi yoyote ambaye akiondoka madarakani nchi inachafuka, ni kiongozi wa ovyo! Ni wale "one man leadership", hawaachi legacy! Gaddafi, Magufuli, Amin, Mugabe, Bashir, Museveni and likes!
 
Kiongozi yoyote ambaye akiondoka madarakani nchi inachafuka, ni kiongozi wa ovyo! Ni wale "one man leadership", hawaachi legacy! Gaddafi, Magufuli, Amin, Mugabe, Bashir, Museveni and likes!

Kaondolewa na Mabeberu wakishirikiana na vibaraka wao kwa vita!
Baada ya kuondoka, mabeberu wamesimika vibraka hao!
lielewe hilo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…