Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?

View attachment 534066

Ninaomba tusimuongelee mwalimu Nyerere kwa maana yeye nafasi yake kwa Afrika haina mpinzani.
Actually Mandela ndo shujaaa
Gaddafi alikua anafadhili janja weed KUUA waafrica ilikukamilisha one Arab race in Sudan
Pia alikua anataka kuifanya Africa iwe moja kwa Interest za kuexpand middle East kwa race ya waarabu ....
Ambao mpango wao n kugrab land as many as possible In Africa.....so wanaosema Gaddafi hawajajua mpango wa nchi za Kiarabu!!!...
 
Mada kama hizi lazima tuwe tunasoma. Kwanza tupate contents za kutosha ndio tuje tuongee Muammar Gadaffi mpaka vuguvugu la mapinduzi linaanza dhidi ya Gaddafi sababu kubwa walimlaumu anatapanya fedha Afrika nzima wa Libya wanaishi kwa shida ila sio shida hiiizo ni basi tu raha zikizidi watu htafuta hila

Kabla ya Gaddafi kununua satelite ya Afrika Waafrika tulikua tunalipa dola milioni 500 kwa mwaka kama ada ya kutumia satelite yao wakati huo satelite bei ilikua ni dola milioni 400 tu tulikua tunwasiliana kwa barua enzi hzo vituo vya redio na luninga vilikua vya kuhesabu

Gadaffi akaona ni upuuzi beki ya maendeleo ya Afrika ikatoa dola milioni 23 na pesa iliyobakia zaidi ya dola milioni 300 alizitoa Gadaffi hatimaye mwaka 2007 Afrika ikapata satelite yake na ndipo mitandao ya simu vituo vya redio na luninga hapa Tanzania vikawa kama uyoga alafu mtu anakwambia Gaddafi ni mbaguzi, mara tunajipendekeza kwa Waarabu aisee!!!

Gaddafi Waarabu alishawakataa aliwambia yeye sio Mwarabu yeye ni kijana wa Kiafrika hvyo atafia Afrika haiwezekani Iraq inapigwa kambi za kijeshi za Marekani Zipo kuwait aliwaita wanafiki huyu mzee aliwahi kukipa fedha ndefu Kisiwa cha Malta ili waigomee Marekani kujenga kambi ya kijeshi na alifanikiwa

Gaddafi alikua ukijipendekeza kwa Wazungu anakupotezea Gaddafi aliamini Libya peke yake haiwezi bila nchi zote za Africa kuwa huru ndio maana alitoa msaada wa mali na hali alimpa pesa mpaka Tata Madiba aitoe 'South Afrika utumwani

Ukweli Gaddafi ana madhaifu yake ila mazuri ni mengi kuliko mabaya kingine tuwe tunawaza wenyewe sio mpaka mataifa ya Magharibi yatuwazie kwa kama ilivyo waaminisha wa Libya na leo wako kwenye umasikini wa kutupwa mafuta yote yanaenda Ulaya na Marekani

Madiba nie pia ni mtu mzuri sana kwa Afrika ila kwa mchango mkubwa Afrika Muammar Gaddafi ni zaidi kafanya mengi makubwa mno yapo. Mengine mengi ila ngoja niishie hapa
 
well said mkuu@
 
Hujui ukiongeacho, idini/ubaguzi umekuathiri sana.
 
Umesahau ghadaf ndio aliyefadhili ya liberia na sieralion kwa foday sankoh na uganda hapa. Hakuwa mzur kiivyo.
 
Huyu jamaa alikuwa ni mbaguzi wa kidini wa kiwango cha juu, na alikuwa anatumia mali zake kushawishi na kuwahonga baadhi ya viongozi ili kuibadilisha Afrika kuwa ya dini moja. Huo umoja wa Afrika aliokuwa anazungumzia ni Tofauti na ile ya NKURUMAH na NYERERE yeye alikuwa kwenye mrengo wa kidini , ndio sababu kuu ya kumpa sapoti NDULI wakati wa vita ya kagera akiamini kuwa bongo ndio ilikuwa kikwazo kwa baadhi ya sera zake mbovu
Absolutely true
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Uzi unawalinganisha wahusika kwa walivoisaidia Afrika sio Tanzania. Simply because Ghaddafi alim support Amin kwenye vita dhidi yetu haiondoi ukweli kwamba kuna mengine mengi mazuri alilifanyia bara zima la Africa
 
..wewe utakuwa ni UVCCM.

..hampendi kusoma nyinyi.
 
Muamar gadafi....huyo Mandela "ushujaa" wake ni kukaa jela mengine aliyoyafanya ni ya kawaida sana, tena yalifanywa na wapigania Uhuru wenzie
Tena aliipigania nchi yake tu si afrika kama alivyopigania ghadafi
 
..wewe utakuwa ni UVCCM.

..hampendi kusoma nyinyi.
Mkuu labda nikushike sikio!! Ukiona vijana wanashabikia gadafi Mara nyingi huwa wamejificha. Kwenye mwamvuli wa dini,
We Kama huamini press even harder utaona wanajionyesha rangi zao
 
..nawahurumia.

..hawajui kazi aliyofanya Brigadier.Muhidin Kimario kuamrisha mapambano dhidi ya askari wa Gaddafi.

..na Walibya walishaanza kutuelemea na ilikuwa almanusra tushindwe vita ile.
 
Back
Top Bottom