Doooh, aiseeeghadaf kafny nn mpk afananishwe na madiba?
Hata Mwalimu alikuwa na mapungufu yake, hakuna asiyekuwa na mapungufu. Mbona huyohuyo Gadafi alikuwa akishutumiwa kuwaunga mkono makundi ya kigaidi mengi tu?..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Madiba na Hayati Nyerere naona ni kama mbingu na ardhi. Watu naona hamjui kuwa mpaka leo SA kuna ubaguzi, bado kuna mitaa ya ngozi nyeupe na nyeusi, nchi bado inatawaliwa na wazungu.Baba Madiba hana wakufananishwa naye hapa duniani.
Mkuu umetoka nje ya mada..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Ghaddafi shujaa wa kweli wa maendeleo after post independence na aliweza kuzisaidia nchi nyingi Africa na Italy (Europe) wanahabari zake pia.Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika?
View attachment 534066
Mkuu kwa Madiba hata kwa fimbo huwezi kunitoa yule mzee Mungu alimleta duniani kuja kuikomboa S.A, hata wakimbizi wakati anaumwa walikuwa wanalia sana, kazi yake alishamaliza wakina Zuma ndiyo wanaiharibu S.A.Madiba na Hayati Nyerere naona ni kama mbingu na ardhi. Watu naona hamjui kuwa mpaka leo SA kuna ubaguzi, bado kuna mitaa ya ngozi nyeupe na nyeusi, nchi bado inatawaliwa na wazungu.
Madiba alivyotoka jera biashara yake iliishia hapo hapo, waliamua kumzawadia heshima tu ili atulia lakini kiutendaji, achana na Nyerere na Gadaffi.