Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Umenena vyema. Madiba ndio maana anapewa sifa sana na wazungu kwa kuwa hakugusa maslahi yao ya kiuchumi na kijamii huko SA. Wazungu waliendelea kuwa wamiliki wa uchumi na pia 1st class citizens.

Lakini kwa upande wa Africa hakuna hata nchi moja aliyowahi kuisaidia.sasa inakuwaje leo tumtaje kama HERO wa Africa!!!!
Eti unatangaza msamaha kwa wazungu wakati muda huohuo kuna makazi ya ngozi nyeupe na ngozi nyeusi.
 
Akili yako ni ya Kibashite, Mandela kaongoza miaka 5 tu tena ambapo nchi ndiyo imepata uhuru pekee, Gadaffi miaka 42, S.A na Libya wapi penye maendeleo? Note mchango wa amani, busara, hekima na maarifa ni mkubwa kuliko mchango wa fedha.
Hakukuwa na haja ya kunitusi,matusi hayatafanya hoja yako kuwa yenye nguvu.

Kati ya SA na Libya ni nchi gani ilikuwa na huduma za kijamii zenye hadhi ya juu??

Ni kiongozi gani kati ya Mandera na Gaddafi ameisaidia zaidi Africa??

Ukijibu maswali haya utakuwa umejibu swali la mleta hoja. Mleta hoja hakuuliza nani ana busara au hekima zaidi kati ya viongozi aliowataja wala hakuuliza mchango wao kwa nchi zao binafsi bali kwa Africa.

Nikusihi ujenge hoja sio matusi.
 
Binafsi sijawahi ona nchi ya africa yenye maendeleo kuzidi libya ya gadafi, pia kuhusu kuisaidia afrika mandela sijaona cha maana ila kawaulize AU enzi za muamar ilikuwaje?
 
Mkuu kuitwa Bashite ni tusi? kumbuka Bashite ni RC
S.A na huduma za kijamii kwa kiwango cha juu sana hilo la kwanza.
Mandela amesaidia sana Africa kwa kuchukua wakimbizi haswa Wasomali, Ethiopia, Wazimbabwe n.k
Pia baba Mandela alikuwa msuluhishi wa mataifa mbalimbali.
 
Amesaidia kujenga misikiti over, baba Mandela ni kiongozi bora kuwahi kutokea duniani hata wazungu wanakubali hilo.
 
Mkuu kuitwa Bashite ni tusi? kumbuka Bashite ni RC
S.A na huduma za kijamii kwa kiwango cha juu sana hilo la kwanza.
Mandela amesaidia sana Africa kwa kuchukua wakimbizi haswa Wasomali, Ethiopia, Wazimbabwe n.k
Pia baba Mandela alikuwa msuluhishi wa mataifa mbalimbali.
Kuwa RC sio kipimo cha akili/elimu wala upeo na sio sifa ya kunifananisha nayo.

Umenishangaza kwa kusema SA ina huduma bora za kijamii ukiilinganisha na Libya ya Gadaffi. Pia nimeendelea kusikitika kwa kusema Mandela hafananishwi na mtu yoyote duniani (refer to your foregoing posts) kisa busara,kupokea wakimbizi wa Somali na kusuluhisha migogoro kana kwamba Mandela ndio kiongozi wa kwanza kupokea wakimbizi, kusuluhisha migogoro na kupokea wakimbizi.

Kwa msaada tu wa taarifa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopokea sana wakimbizi hasa kutoka Congo, Burundi na Rwanda.Pia Nyerere ,Mkapa na Kikwete wamehusika sana kwenye usuluhishi wa migogoro.Kikwete kwa sasa anasuluhisha Libya na Mkapa Burundi. Haya yote ni mambo ya kawaida sana kidiplomasia.

Tunapowazungumzia Gaddafi na Mandela tunataka mtu uoneshe unique characters na mchango kwa Africa na waafrika na si kutuletea mambo ambayo ni so obvious kila mtu anaweza kufanya. Kwa mfano Nyerere kutumia resources za watanzania kwa ukombozi wa Africa, Gaddafi kutumia resources za walibya kwa waafrika na sio kutuletea habari za hekima ,busara na kupokea wakimbizi , vitu ambavyo kila nchi inafanya.
 
Mkuu Gadafi zaidi ya kujenga misikiti kuna nini kingine amefanya kwenye nchi za watu? toa mfano wa huduma bora ambazo zipo Libya alafu S.A hazipo
 
Back
Top Bottom