Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?


  • Total voters
    244
In peace? Wow! Or maybe you meant pieces! So Idi Amin is your hero too?

Don't be a kid.
That's my vote with a few facts I mentioned with relation to Gaddafi.
I didn't prevent you stating your opinion.

I voted for Gaddafi, and I know he is a hero of age.

I have been in Libya with Gaddafi as a President and later in Libya without Gaddafi. I know what I wrote.

May , Gaddafi's Soul Rest In Peace.
 
Joka kuu una kitu kingine!!!!!!!!!! Jeshi gani la Gadaffi lililo ua majeshi yetu??? Mbona unakuwa mpotoshaji, majeshi yake yote yalitekwa kabla hayajafika uwanja Wa vita na ndio ilisababisha mpk akawa ni mmoja wa marafiki wakubwa wa Baba wa Taifa.
 
Hawezi zaidi ya udini
Babati, inaonyesha huo udini unaousema umekujaa moyoni!!!!!!!! Na kama sivyo basi elimu yako imeishia hapo hapo Babati haijawahi hata kupanda Punda hadi Dareda!!!!!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]
 
Babati, inaonyesha huo udini unaousema umekujaa moyoni!!!!!!!! Na kama sivyo basi elimu yako imeishia hapo hapo Babati haijawahi hata kupanda Punda hadi Dares!!!!!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]
Umeandika mwenyewe au umeandikiwa?
 
Ghadafi alikuwa anti imperialist na marafiki zake wakubwa walikuwa Fidel Castro, Chavez,morales na ndio maana Omar all bashir anamchukia sana gadaffi hata kifo cha Gadafi ,Al bashir alifurahi sababu gadaffi alikuwa ana destabilize Sudan kwa kuwafadhili akina Garang akidai Bashir ni imperialist japo alikuwa na motive zingine kuona Sudan ingekuwa super power.Mpaka s.Sudan inapata Uhuru ni kwasababu ya kazi kubwa ya Gadaffi

Ishu ya Uganda Gaddafi aliona Tanzania ni imperialist ina occupy sehemu isiyo yake japo alikengueka na kuomba msamaha baadae

Ila ukizungumzia liberation Gaddafi katoa pesa nyingi kumsaidia Mandela na marafiki zake wa karibu mno walikuwa Chavez, Castro anti imperialist wenzake wenye muono sawa na pindi Mkutano was UN ukifanyika Gaddafi alikuwa anaenda pamoja na Chavez NY .na Chavez kwenye moja ya hutuba zake alikuwa ana mchambua Gaddafi na liberation na mipango yao ya kuunganisha afrika kama ilivyo s.America

Wote ni mashujaa wa Africa ,
Gaddafi kapigania South ,kapigania Uhuru wa s.Sudan nk .

Mandela kakaa sana jela japo ni inspirational ila gadaffi ,samora ,nyerere walipigania ya wa Africa wote





3ef6133357177cedae31aedb8aec4b66.jpg
Umemaliza kiongoz
 
Kweli jamaa alikuwa shujaa
Mistakes happen hta kma alibaka or not tumpime kwenye uongozu wake alivyopambana dhidi ya ukolono mamboleo hayo mambo ya kubakana sioni yana impact kwenye siasa za bara la Africa
 
Umesimuliwa hiyo.
Gaddafi tumeona live,ninayo video,nipe namba WhatsApo uone Mlibya akimpiga kijiti
Nadhani unafikiri kwa kutumia masaburi, kamuulize kiongozi wako mkuu papa atakwambia yesu aliuawa vipi
 
Back
Top Bottom