BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mandela=kibaraka wa wazungu
Simba wa Afrika/Gaddafi=mtetezi wa Africa/wanyonge
Simba wa Afrika/Gaddafi=mtetezi wa Africa/wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu muacheni jaman colonel kadaffi eboo..kukaa jera ndoo sifa... Kaddafi ni mmoja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kwa Mandela kuwa free
Acha upuuzi madiba ni saiz za MugabeBaba Madiba hana wakufananishwa naye hapa duniani.
Yes na ukitaka kujua ukweli angalia historyMandele na GADAFI wapi na wapi...GADAFI alikuwa mtetezi wa wanyonge na Afrika kwa ujumla
Usinilazimishe unachoamini wewe.Acha upuuzi madiba ni saiz za Mugabe
Chunguza kidogo kitu inaitwa Mandela Effect (Ni ya kutisha kidogo, far fetched.. Ila nzuri kuijua)Mkuu naumia sana mnapolinganisha MANDELA na mwanasiasa yeyote duniani. Mtu kafungwa 27, lakini kasamehe waliomfunga! Kakaa madarakani muhula 1tu!! MANDELA hana mpinzani duniani.
Unless you were not the one jailed!Mimi namuona shujaa Mandela kwa kusamehe
Ni jambo ambalo binaadamu wachache sana wanaliweza
Hii Mandela Effect umeichungulia hata kidogo ndg yangu?! Ni theory ya namna Western kupitia social experiment wanajaribu ku-rewrite history.Acha upuuzi madiba ni saiz za Mugabe
mandela ni diplomasia mzuri lkn hakua Wanaharakat ni hawa kina nyerere,,gadafi wameshirikiana sana na cheguavara kukomboa africaMkuu naumia sana mnapolinganisha MANDELA na mwanasiasa yeyote duniani. Mtu kafungwa 27, lakini kasamehe waliomfunga! Kakaa madarakani muhula 1tu!! MANDELA hana mpinzani duniani.
Hapa wanamsifia ni ndugu zake wa dini fulani ila ata mm nilifurahi sana huyu shetani alivyoondolewa duniani kwa aibuSisi ni wepesi sana wa kusahau. Kweli Gaddafi kwetu ni shujaa au msaliti. Mwaka 1978 majeshi yake na rafiki ya Idd Amini Dada yaliua ndugu zetu wasio na hatia mkoani Kagera, bado ni shujaa kwenu. Kwangu Gaddaf alipata haki yake.
Zungumza ukweli kama uonekavyo in its purest form na uwe SPECIFIC ktk subject husika.,Hii issue ya ghadaffi kuua askari wa Tz tambua ilikua ni vita,kwani nyerere hajazisaidia nchi za kusini mwa africa kujikomboa na kupata uhuru kutoka kwa wakoloni tena KIJESHI??.,So stick to the Question yupi bora na sio kumkosoa mtu kwakua kuna suala la kitaifa..waTz hatupaswi kumsifia mtu aliyetoa roho za askari wetu ktk vita vya Uganda.
..Ndiyo maana vijana wa kiTz mnadharaulika kwasababu mnakurupuka kujadili mambo mazito lakini hamsomi.
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!
..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.
..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Ni kweli ni habari nyingine kwa kufa kwa aibu na kuzikwa kama mbwa na familia yake tu tena haijulikani ni pori gani walimtupa !!!.GADAF NI HABARI NYINGINE KABISA.