Elections 2010 Poll of polls; mjumuisho wa tafiti

Shukrani Luteni, hizi ndizo analysis tunzozihitaji kwa kweli. Ukiziangalia kwa karibu kabisa, utaona kuwa nyingine zote zinatoa result kwa ukaribu sana, isipokuwa za REDET na wenzao wa Synovate. Naomba Mkuu apewe hizi data ikiwezekana.
 
great luteni, huu uchambuzi hata makamba mwenyewe atakubali na kinana ataitikia ndiyo mzee.
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

Ni wale wale wanaopika utafiti. sidanganyiki
 
Ni utafiti wa kumjenga Dr Slaa kushinda. Kwa sasa hatuhitaji utafiti, tusubiri Octoba 31
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

asante sana luteni, hii inaonyesha jinsi dr slaa anavyokubalika.
 
Nini Maoni yako kuhusu jinsi kampeni zinavyoendelea | Polls | Swahili
 
Ohh,, Jesus thanks very much for make us AWARE to these but we have to pressulize these datas to be dispayed in the magazine in order for every body to know the reality of this.GET FIVE.

Hivi ninyi mnaojifanya kuja na majina ya kichaga na kuingiza masuala ya ukristo katika propaganda zenu mnadhani wote humu ni wajinga.

Ni wazi nia yenu ni kuwadanganya watu kuwa ninyi ni CHADEMA ama wafuasi wa Dr Slaa wakati sio hivyo. Ni wachochezi wakubwa.....Nia yenu ni kuendeleza hizi siasa za udini kwa faida yenu na sio CHADEMA wala Dr Slaa.

Hi inafanana na baadhi ya sms na email messages zilizozagaa ambazo naamini kuwa nazo ama baadhi yake zina malengo kama haya.....

Moderator, nashauri mfunge mlango wa uanachama humu hadi baada ya uchaguzi.....Hiyo itasaidia kuwadhibiti wale walioshajiunga endapo watathubutu kuendeleza huu upupu lakini pia kuwazuia hawa wanaoingia kwa ajili ya kuendelea kuwafitinisha na kuwagombanisha watanzania...

Angalia huyu amejiunga leo tayari anamwaga upupu akijifanya kumunga mkono luteni.....
 
Omar bana .....
Nilikuwa nakutafuta sanaaaaaaaaaa. Ile mada yetu ya jana ulikimbia bila kuaga.
Hao jamaa acha wajiinjoi kwa nafasi zao wenyewe. Wana JF wanajua kupembua pumba na safi.
 
Slaa anakubalika sana tu.

Nilikuwa Songea kwa wiki nzima (last week). Pale Songea mjini Emmanuel hana chake. Labda aibe tena kwa kiasi kikubwa.

Kule vijijini, bado CCM inaogopwa (si kupendwa), lakini kuna vijana wengi tu wanaongea kwa uhuru wote juu ya mapenzi yao kwa Slaa.

Vote for Slaa!
 
A poll is a poll hata ifanyike kwa kunyosha mkono, mkulima akihesabu ng'ombe wake akakuambia ana majike 30 na madume 50 utakataa na kumwambia poll yake siyo scientific.
Luteni za kwangu kule Izimbya Bukoba jumamosi nilipolala kilioni, mbona hukuziweka bana? au sio poll? tena ni za wazi!
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

Naomba kuuliza....Hivi neno uchakachuaji kimantiki lina tofauti na kazi hii?
 
Kama ambavyo chadema walikataa utafiti wa Redet na Synovate na CCM watakataa uchambuzi wa Luteni
Mzee Busara

Huu si utafiti ni average ya tafiti na poll mbalimbali zinazofanyika, average huwa inakusanya data unazozipenda na usizozipenda.
 
Asante kwa hizo data. Naomba zichapishwe Tanzania daima na mwananchi
 
They should be published to counterbalance the the agenda of CCM proxies - REDET and Synovate !
 
hii thread inabidi iwe front page all the time..... nataka Omar na wenzake wapate magonjwa ya moyo.
 
Back
Top Bottom