Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
OkYes.
1. Shukran kwa kunikumbusha.
2. Ndo nipo hapa nazipangilia Hoja pamoja na vyanzo [sources] kadhaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkYes.
1. Shukran kwa kunikumbusha.
2. Ndo nipo hapa nazipangilia Hoja pamoja na vyanzo [sources] kadhaa.
What do you have to say now? Over 77 million Americans voted for the convicted felon 🤣.Na Clinton hakujisumbua ku campaign katika majimbo kama Michigan kwa sababu traditionally yalikuwa yana pigia kura Democrats. Trump akashinda Michigan kwa kura 10,000 na Pennsylvania kwa takriban kura 50 000!
Na kingine ni Attorney General kutangaza siku za mwisho kuwa anaweza kumfungulia mashtaka Clinton ( cha kushangaza Republicans wamemchagua a convicted felon kugombea)! Apathy, complacency na dirty tricks ndio zilimponza Hillary.
Inaelekea Democrats wamejifunza maana kila mmoja anakazia kuwa Trump bado anaweza kushinda kwa hiyo kila kura ni muhimu.
Amandla..
He received less than 77 million votes ( 76, 849,607). You have gone all MAGA now with the lies.What do you have to say now? Over 77 million Americans voted for the convicted felon 🤣.
Excuses..? I’m all ears 👂.
🤣He received less than 77 million votes ( 76, 849,607). You have gone all MAGA now with the lies.
And people sometimes votes against their best interests. Kamala fought a good fight and she lost. And now Steve Miller get to do what he has always wanted to. Enjoy the ride.
Amandla...
🤣
Either you’re losing your marbles or you’re too discombobulated.
But I got the receipts from Decision Desk Headquarters.
Don’t need to lie.
Here are the current numbers.
View attachment 3161717
Here is the link:
![]()
2024 Presidential General Election Results | DDHQ
Live election results, and analysis of the 2024 General elections.decisiondeskhq.com
Over 77 million votes and counting….
The AP is behind. That’s all. It will change.
Hazitaongezeka sana maana zilizobaki ni za California. Lakini bottom line ni kuwa convicted felon, racist, pathological liar, wannabe fascist ndio chaguo la wamarekani waliopiga kura. Sasa kazi kwake ku live up to their matumaini kuwa atawashughulikia undocumented immigrants, trans kids, vita za Middle East na Ukraine, atawapunguzia kodi, atamalizia concept yake ya plan ya Affordable Care, bei za mikate na gas zitarudi kwenye pre Covid level n.k. Sidhani kama atawaangusha. Na next elections mtampa tena kura zenu ( kwa Trump hamna 2 term limits).The AP is behind. That’s all. It will change.
The Cook Political Report has Trump over 77 million, also.
View attachment 3161779
![]()
2024 National Popular Vote Tracker
!function(){"use strict";window.addEventListener("message",(function(a){if(void 0!==a.data["datawrapper-height"]){var e=document.querySelectorAll("iframe");for(var t in a.data["datawrapper-height"])for(var r=0;rwww.cookpolitical.com
CNN nao naona wako nyuma katika kuhesabu.
Nao wanaonyesha Trump ana milioni 76 na kitu. Lakini hesabu zao hazilingani na za AP.
DDHQ wako fast sana namba zao ni za uhakika. Na wao, kwa kushirikiana na NewsNation, ndo walikuwa wa kwanza kumtangaza Trump mshindi.
Walimtangaza mshindi saa 7:22 usiku. Networks zingine zilimtangaza mshindi majira ya saa 11 alfajiri, kwa saa za Marekani [mashariki].
Trump kapata zaidi ya milioni 77! Ni suala la muda tu na hao wengine wataonyesha hivyo. Hesabu hazidanganyi.
Sore loser narrative!Hazitaongezeka sana maana zilizobaki ni za California. Lakini bottom line ni kuwa convicted felon, racist, pathological liar, wannabe fascist ndio chaguo la wamarekani waliopiga kura. Sasa kazi kwake ku live up to their matumaini kuwa atawashughulikia undocumented immigrants, trans kids, vita za Middle East na Ukraine, atawapunguzia kodi, atamalizia concept yake ya plan ya Affordable Care, bei za mikate na gas zitarudi kwenye pre Covid level n.k. Sidhani kama atawaangusha. Na next elections mtampa tena kura zenu ( kwa Trump hamna 2 term limits).
Amandla..
Sore looser? And what do you call the guy whose called a secretary of state to FIND the votes so that he could flip the State? Who arranged for fake electoral voters to come and announce him the winter? Who caused his favourite TV station to be fine over 700 million dollars for peddling lies?Sore loser narrative!
Bottom line, Trump got more than 77 million votes. Read and weep.
Nothing was going to stop him.
They tried everything.
2 impeachments. 4 arrests. 91 charges. 2 assassination attempts.
Democrats broke every norm imaginable by prosecuting their chief election opponent.!
They sought to imprison him. They tried taking his name off the ballot.
I’m glad the American people saw through their bullshit and gave them a giant middle finger.
And now they’re dropping their lawfare left, right, center, above, and below.
#MAGAforver 🤣🤣
Indeed 🤣.FAFO as the never Trumpers say.
Amandla...
Trump hawezi kuwa rais.
And you MAGAs will soon Find Out that the Orange one really meant what he promised. It won't be pretty.Indeed 🤣.
Never Trumpers and their allies in the Democratic Party just found out after fcuking around majorly.
They got him re-elected 😉.
Much to your chagrin, we already know what he is like.And you MAGAs will soon Find Out that the Orange one really meant what he promised. It won't be pretty.
Amandla...
Fundi, my friend. How are you doing?