Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
:shock: Babu... behave!
Hahaaa huyo Man wa JF bana a behave nini sasa?
EMT yupo juu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:shock: Babu... behave!
Orayt...
Mie naitwa Asprin a.k.a Babu yaani ODM wa wajukuu.
Unakaribishwa katika familia yangu. Facebook unatumia ID gani?
Kwa sababu kuna ujumbe nilikua natuma kwa kupitia kura yangu
ila naona message not delivered...:lol:
wewe je?
We si umeona ndio bado wanaji-introduce?Kuna tatizo lolote kushare interest na mtu mnaeyeelewana kwenye facebook?
Kweli hujaelewa? Kumbe ulikua umefichama kiasi hicho?Mimi sijapiga. Hapo sijakuelewa kabisa, labda ukitaja huo ujumbe nitaelewa.
Muadd akitaka vingine mwambie njoo baadae....We si umeona ndio bado wanaji-introduce?
Hahahaha... haya bana:focus::shock: Babu... behave!
Punguza uchoyo kidogo bana. Hupendi kufahamiana na ODM? Hutaki ukaguzi?Well nishakaribia Asante. Nimeona ni bora nitenganishe FB na JF. Mambo yote tutamaliza hapa.
Kweli hujaelewa? Kumbe ulikua umefichama kiasi hicho?
Mbona mi nilidhani uko wazi? kumbe ndio maana hajaelewa
Mi sijui huwa nna nini...
Tangu nizaliwe sijawahi kumpigia mtu kura afu akashinda zaidi ya mwaka juzi kura yangu kwa Halima Mdee ilipovunja rekodi
Tangu nizaliwe sijawahi kupigiwa kura nikashinda zaidi ya mwaka huu hapa JF chini ya kampeni meneja wangu Kongosho asali ya ODM, mratibu wa uchaguzi Fellow tablet klorokwini na them my darling wajukuuz :A S-coffee:i love you all 😛oa. (Hivi bado kura zinaendelea kupigwa???)
Nachoweza kusema kwa kifupi sana ni kuwa NAWASHUKURUNI wote mlionikampenia na wote mlionipigia kura na mliowapigia washkaji zangu BAK na EMT.
Am happy but I think I don't deserve this.
Baada ya kusema hayo, napenda kuwahakikishieni kuwa ODM anawapendeni wote. Karibuni kaunta ya juu kwa Tusker Malt baridi kwenye glasi ya moto.
Punguza uchoyo kidogo bana. Hupendi kufahamiana na ODM? Hutaki ukaguzi?
Hapo tayari ameruhusu a complete stranger kujua anakohishi,Muadd akitaka vingine mwambie njoo baadae....
Assumptions are termites - Ndio maana nikaomba kueleweshwa
Ukikosa mtu wa kukuelewsha au ukiona wanakuzingua nitafute kwa PM sawa eh?Assumptions are termites - Ndio maana nikaomba kueleweshwa
Umeninyim ID yako ya Facebook siyo uchoyo huo? Basi nipe namba yako ya simu nikudipu.Ukaguzi naweza kubali ikiwa tu mimi ndio mkaguzi na sikagui mtu. Mbona sijakunyima lolote waniita mchoyo?
Ukiona sikusema toka mwanzo si maana yake nimeshindwa?
Halafuuuuuuu, Mbona umenibana sana wewe dada? Ulijiunga lini?
Mbona huna kamba mguuni??? (just joking)
JD ndio nini?Assumption yangu ilikua a "crush" am I rite?
Mimi mwenyewe umenibamba. Care join me for a JD?
Ukiwa man of Jf natafuta BAN ya lazima ili niondoke JF.Umeninyim ID yako ya Facebook siyo uchoyo huo? Basi nipe namba yako ya simu nikudipu.
Ukikosa mtu wa kukuelewsha au ukiona wanakuzingua nitafute kwa PM sawa eh?
Umeninyim ID yako ya Facebook siyo uchoyo huo? Basi nipe namba yako ya simu nikudipu.
Hapo tayari ameruhusu a complete stranger kujua anakohishi,
rafiki zako, key events za maisha, what you like and dislike
How you look like na mengineyo
My Anti told me not to talk to strangers
Nadhani ina aply sana katika facebooc.
Don't add anyone if you don't know him enough to give him your details
Atuachie sisi ndio ushare details na bau yetu!