Polls: JF Woman Of The Year 2011

Polls: JF Woman Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Woman Of The Year 2011"?

  • AshaDii

    Votes: 68 80.0%
  • FaizaFox

    Votes: 17 20.0%

  • Total voters
    85
  • Poll closed .
Woman of the year for Faiza Foxy


Anastahili kuwa Woman of the year sababu 'she is real, Down to earth, anatetea analoamini, hamung'unyi maneno'.

Kwa masuala ya kisiasa yuko mbele, mambo ya mahusiano full mapoint.

FF for Real People, Vote FF
View attachment 48659 View attachment 48660

Heheh.....yaani ndo umemuongezea kiwingu kabisa!! AshaDii....people...vote for AshaDii!
 
She is real, uliza swali anakupa jibu la staha ya swali, haumi umi maneno, sifa ambayo wachache sana wanayo
Anatetea analoamini hata kama utamchukia, wachache sana watu wa aina hii
Anaijua siasa kwa kiwango chake

Ni mkubwa kiumri lakini bado anaweza kwenda ba flow ya vijana katika mada nyingi.

Naona anastahili kura na sapoti yetu, afu hayupo kwa hiyo hawezi haa kujikampenia.

Wewee......FF ni physical figure tuu! Vote for AshaDii.......KISIMA CHA BUSARA!!
 
Who is Faiza Foxy??????????----------------AshaDii ndo mpango
 
People vote for FF

Unaona kipipi, anamapoint hadi watu huwa wanadhani ni NGO
Mtu mmoja kama elfu moja

Vote for FF
Wewee......FF ni physical figure tuu! Vote for AshaDii.......KISIMA CHA BUSARA!!
 
Exceleent, vote for FF

Utakuwa umeitendea busara kura yako.

Bana hainogi kama mwenyewe hayupo
Hivi nbansen bana yake inaisha lini?
Inakuwa kama tunajeruhi mtu aliyezimia

Who is Faiza Foxy??????????----------------AshaDii ndo mpango
 
People vote for FF

Unaona kipipi, anamapoint hadi watu huwa wanadhani ni NGO
Mtu mmoja kama elfu moja

Vote for FF

Vote for AshaDii people.......a lady with full of wisedom, mtulivu, asiyependa makuu na mwenye upendo wa kweli kwa watu wote!! Ni muelewa na anachangamana na watu wa aina mbalimbali in all spheres of life hadi PAW mwenyewe anapiga salute! Lets go people.....vote for AshaDii a real woman, with full of knowledge.......sio FF mpaka avute stimu!!
 
Mie huwa sikati tamaa
Nitapiga kampeni hadi dakika ya mwisho

Endelea kutusindikiza tu...wala usiache!! Huyo unaempigia kampeni mwenyewe hakustahili, kahurumiwa tu.....kwanza ana bansen bana laki tisa!!!!
 
Back
Top Bottom