Wonder Woman
Senior Member
- Mar 4, 2012
- 110
- 33
manake kura yako imeenda na maji
Kivipi kura yangu imeenda na maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manake kura yako imeenda na maji
kwa sababu hujauliza sifa za huyo mgombea mwingineKivipi kura yangu imeenda na maji?
Kura yako ha8ijaenda na majiKivipi kura yangu imeenda na maji?
kwa sababu hujauliza sifa za huyo mgombea mwingine
Ashadii bila ubishi.
nahisi Ashadii atakua na 'Id' nyingi hu jf! Anyway.
Woman of the year for Faiza Foxy
Anastahili kuwa Woman of the year sababu 'she is real, Down to earth, anatetea analoamini, hamung'unyi maneno'.
Kwa masuala ya kisiasa yuko mbele, mambo ya mahusiano full mapoint.
FF for Real People, Vote FF
View attachment 48659 View attachment 48660
She is real, uliza swali anakupa jibu la staha ya swali, haumi umi maneno, sifa ambayo wachache sana wanayo
Anatetea analoamini hata kama utamchukia, wachache sana watu wa aina hii
Anaijua siasa kwa kiwango chake
Ni mkubwa kiumri lakini bado anaweza kwenda ba flow ya vijana katika mada nyingi.
Naona anastahili kura na sapoti yetu, afu hayupo kwa hiyo hawezi haa kujikampenia.
Wewee......FF ni physical figure tuu! Vote for AshaDii.......KISIMA CHA BUSARA!!
Who is Faiza Foxy??????????----------------AshaDii ndo mpango
Heheh.....yaani ndo umemuongezea kiwingu kabisa!! AshaDii....people...vote for AshaDii!
People vote for FF
Unaona kipipi, anamapoint hadi watu huwa wanadhani ni NGO
Mtu mmoja kama elfu moja
Vote for FF
Mie huwa sikati tamaa
Nitapiga kampeni hadi dakika ya mwisho
Aunt kashashinda.
nahisi Ashadii atakua na 'Id' nyingi hu jf! Anyway.
Who is Faiza Foxy??????????----------------AshaDii ndo mpango
AshaDii jembe langu!