Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
hata kama si siri vote for the boss hapo juu
'The Boss for responsible people'
halafu slogan imekaa vyema kweli hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama si siri vote for the boss hapo juu
'The Boss for responsible people'
Mbu - 50%
The Boss - 50%
...duhhh, "king" wa mmu 2011....? You crack me up jamani...nawe BJ washabikia ee? Lol...
The Boss hongera kwa ushindi.
as much as I like you Mbu, but this time is for the Boss.
BJ, hamia basi kubwa
hamia kwa 'The Boss, for responsible people'
Dah! hapa ni sawa na kumshindanisha messi na zidane aisee! yaani haujui hata ulembee vote yako wapi. Nailembea kwa Mbu bana .
Ze boss namkubali sana lakini tatizo wamempambanisha na legend
Ze boss ananiwekea competition sana kwa jinsia ya upinzani bana. Yaani kila mdada unaemPM anakujibu "hebu timua kulee wewe hauna swaga kama za ze boss bana"vote TB
afu kule kwa man of the year twende tukaongeze nguvu kwa felo tablet basi.
Dah! hapa ni sawa na kumshindanisha messi na zidane aisee! yaani haujui hata ulembee vote yako wapi. Nailembea kwa Mbu bana .
Ze boss namkubali sana lakini tatizo wamempambanisha na legend
nimewapigia wote sasa sijui nani atachukua mkuu mbu subiri kwenye soka kwa sasa huyu TB mwachie ila mwaka huu wako mbu naanza kukupamba kwa mwakani..
heheeh nipo mkuu lakini hali si hali, si umeona na leo tumepewa tatu bana yaani inauma sana acha tutoe stress hapa kwenye vote.Hahaha,
Kakaaa, upo? Miwani yangu umevunjika bana...na nesi kanikataza tumia fonts zangu,
am humbled bana, mpeni kura Messi hapo naye aingie hall of fame.
Mkuu Dark City, pamoja kiongozi, 2012 tumia kura yako, chaguo ni lako...
Wapi Aspirin, The Finest, MwanajamiiOne...? Sijatembelea jukwaa hili muda sasa...
Respekt!
Ze boss ananiwekea competition sana kwa jinsia ya upinzani bana. Yaani kila mdada unaemPM anakujibu "hebu timua kulee wewe hauna swaga kama za ze boss bana"
heheeh nipo mkuu lakini hali si hali, si umeona na leo tumepewa tatu bana yaani inauma sana acha tutoe stress hapa kwenye vote.
Mkuu hapa lazima uchukue crown bana, u deserve it. Wapi soulmate aokoe jahazi?
Vote for mbu!
MH, mbona unawasaliti wanachama wako....kwakweli hata mimi kura yangu nampa ze bosi...
hana mpinzani...:nerd:
Hahaha,
Kakaaa, upo? Miwani yangu umevunjika bana...na nesi kanikataza tumia fonts zangu,
am humbled bana, mpeni kura Messi hapo naye aingie hall of fame.
Mkuu Dark City, pamoja kiongozi, 2012 tumia kura yako, chaguo ni lako...
Wapi Aspirin, The Finest, MwanajamiiOne...? Sijatembelea jukwaa hili muda sasa...
Respekt!
heheeh nipo mkuu lakini hali si hali, si umeona na leo tumepewa tatu bana yaani inauma sana acha tutoe stress hapa kwenye vote.
Mkuu hapa lazima uchukue crown bana, u deserve it. Wapi soulmate aokoe jahazi?
soulmate is here,
Turushe coin!Dah! hapa ni sawa na kumshindanisha messi na zidane aisee! yaani haujui hata ulembee vote yako wapi. Nailembea kwa Mbu bana .
Ze boss namkubali sana lakini tatizo wamempambanisha na legend