Polls: King of MMU 2011

Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .
Mbu Vote for The Boss

'The Boss for responsible people'

...duhhh, "king" wa mmu 2011....? You crack me up jamani...nawe BJ washabikia ee? Lol...
The Boss hongera kwa ushindi.
 
as much as I like you Mbu, but this time is for the Boss.

BJ, hamia basi kubwa
hamia kwa 'The Boss, for responsible people'

...kwakweli hata mimi kura yangu nampa ze bosi...
hana mpinzani...:nerd:
 
Dah! hapa ni sawa na kumshindanisha messi na zidane aisee! yaani haujui hata ulembee vote yako wapi. Nailembea kwa Mbu bana .
Ze boss namkubali sana lakini tatizo wamempambanisha na legend
 
vote TB

afu kule kwa man of the year twende tukaongeze nguvu kwa felo tablet basi.

Ze boss ananiwekea competition sana kwa jinsia ya upinzani bana. Yaani kila mdada unaemPM anakujibu "hebu timua kulee wewe hauna swaga kama za ze boss bana"
 
Hahaha,

Kakaaa, upo? Miwani yangu umevunjika bana...na nesi kanikataza tumia fonts zangu,
am humbled bana, mpeni kura Messi hapo naye aingie hall of fame.

Mkuu Dark City, pamoja kiongozi, 2012 tumia kura yako, chaguo ni lako...
Wapi Aspirin, The Finest, MwanajamiiOne...? Sijatembelea jukwaa hili muda sasa...

Respekt!
 
nimewapigia wote sasa sijui nani atachukua mkuu mbu subiri kwenye soka kwa sasa huyu TB mwachie ila mwaka huu wako mbu naanza kukupamba kwa mwakani..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...hahaha, Kwakuwa Arsenal imefufuka au? Usitake nitafute pa kujificha j4...:eyebrows:
 
Hahaha,

Kakaaa, upo? Miwani yangu umevunjika bana...na nesi kanikataza tumia fonts zangu,
am humbled bana, mpeni kura Messi hapo naye aingie hall of fame.

Mkuu Dark City, pamoja kiongozi, 2012 tumia kura yako, chaguo ni lako...
Wapi Aspirin, The Finest, MwanajamiiOne...? Sijatembelea jukwaa hili muda sasa...

Respekt!
heheeh nipo mkuu lakini hali si hali, si umeona na leo tumepewa tatu bana yaani inauma sana acha tutoe stress hapa kwenye vote.

Mkuu hapa lazima uchukue crown bana, u deserve it. Wapi soulmate aokoe jahazi?
 
ukishavote, ntakufundisha mbinu ya kudeal na hilo.

Kwa sasa, vote for TB.

Ze boss ananiwekea competition sana kwa jinsia ya upinzani bana. Yaani kila mdada unaemPM anakujibu "hebu timua kulee wewe hauna swaga kama za ze boss bana"
 
Jinsi MBU alivyo 'humble'
inakuwa ngumu mno kwangu kusema chochote
all in all Mbu knows nilishiriki kum nominate na jinsi ninavyomkubali
at the same time Kongosho na wengine sitaki kuwa dissapoint..so acha tu shindano liendelee
we are both winners including all mmu members..
 
Hahaha,

Kakaaa, upo? Miwani yangu umevunjika bana...na nesi kanikataza tumia fonts zangu,
am humbled bana, mpeni kura Messi hapo naye aingie hall of fame.

Mkuu Dark City, pamoja kiongozi, 2012 tumia kura yako, chaguo ni lako...
Wapi Aspirin, The Finest, MwanajamiiOne...? Sijatembelea jukwaa hili muda sasa...

Respekt!

Ndo maana tumeshauri ama huu uchaguzi usifanyike kabisa au tukubaliane, mmoja awe wa 2011 na mwingine wa 2012....

Hii kamati ya Superman imekosa busara za 1947....Kuna watu hawawezi kupambanishwa bwana....!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
heheeh nipo mkuu lakini hali si hali, si umeona na leo tumepewa tatu bana yaani inauma sana acha tutoe stress hapa kwenye vote.

Mkuu hapa lazima uchukue crown bana, u deserve it. Wapi soulmate aokoe jahazi?

Hehe...tena kabla hamjapona na zile tano, aiseee....
jana nimemtosa MTM naye, heshima mjini...

Soulmate flu imembana, currently under the weather...🙁

soulmate is here,

...lol, ....acha utundu....😛hoto:
 
Dah! hapa ni sawa na kumshindanisha messi na zidane aisee! yaani haujui hata ulembee vote yako wapi. Nailembea kwa Mbu bana .
Ze boss namkubali sana lakini tatizo wamempambanisha na legend
Turushe coin!
 
Back
Top Bottom