Polonium210 has killed him

Come man. Naongelea sum zinazotumiwa na mashirika ya ujasusi.
Kuna sumu inaitwa botox.. moja ya sumu hatari sandunian.
Hii unakuua taratib pia japo kikatili. Hakuna sumu inatwa slow killer..
Kufa haraka au taratib inaetegemeana na volume. Nahapa naongelea effective poison..
Usiniambi visumu vidogo vidogo kama pombe.. sijui alcohol... comeon..
Hata alcohol iliyomo kwwnye ma whisky na mabeer ni sumu aina ya slow killer

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli Pascal Mayalla: sio vifo vyote hupangwa na Mungu, kwa hiyo unataka kusema kifo cha Lissu kingekuwa cha Mungu sio, basi kama ni hivyo mungu ni jiwe letu na mwanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeumba ni mmoja tuu Mungu Baba Muumba wa vyote vinavyo onekana na visivyo onekana, Mungu ndiye mtoa Roho ya uhai na pumzi ya kuishi ya viumbe hai vyote, na ndie hutoa kibali roho za wote zirudi kwake.

Tukio la Lissu ni mpango wa shetani, na sio mpango wa Mungu ndio maana hakufa. Malaika mtoa roho, Malaika Israel, huipitia kila roho kwa mara 70 kila siku ili kuhakikisha saa yako ikifika haipiti hata nukta.

Kama saa yako ikifika, unakwenda kwa jinsi ile ile kifo kitakavyo kukuta, iwe ni kwa ajali, risasi, ugonjwa, usingizini etc.

P
 
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii theory tu mkuu Pascal Mayalla:
Hebu lete basi hata quote ya bible, maana wewe sina shaka ni msomaji mzuri.
Kitabu cha Ezekiel (sina verse kichwani) Muumbaji anasema " sifurahii kufa kwake mwenye dhambi".
Hence...

Kifo cha Ruge ni cha kujitakia, ametenda uovu sana juu ya mwili wake, sasa ameambulia kuharibu organ ya figo na kifo.
Walevi wengi na nyama kwa pamoja huambulia kuharibu figo pia watumiaji wa drugs kwa sana iwe za hospitali au za kulevya, their fate is the same!!

Ruge alijisahau, aliwaza sana kutafuta pesa ila hakuwaza afya yake, na wengi wapo njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtihani wa Uhuru wa Maoni kwa walio vimbirwa
 
Aaaah mkuu Detective J: acha kuzingua botox hii hii, mbona hiyo dawa inatumika vizuri tu hospitali kama unataka kuzuia nywele za kwapa zisiote?
Basi kama botox ni sumu mbaya, basi haizizidi sumu dawa kama couflin, phenobarbiton, phenegan, nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalizo mtoa mada,usije ukaitwa kwa ajili ya kuisaidia police...
 
Basi mtachoooonga kisa kaka kafariki. RIP Bro


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Ziko sumu za hivyo lakini symptoms ya Polonium210 ndo hizo nimetaja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…