Usimuite mbumbafu kama ni mtu mwelewa make counter arguments based on logical assumptions supported with evidence. "A weapon of the fool ni matusi"Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.kuwa nyuma ya keyboard kusikufanye uandike ujinga ukidhani unajificha.
Ngwea tena??Nani mwenye uwezo wa kuibeba polonium hapa bongo, ukilaza wa kupata zero unafikiri ataiweza hiyo polonium? Yeye anaweza kuteka na kuua tu, ujanja wa sumu kwake bado sana.
Bro amekufa kwa starehe zake tu, pombe, madawa nk.
Unafikiri alivyombebesha mangwair madawa ilikuwa sahihi? Kula uliwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri ungenipinga kwa Hoja kuliko kunitaka ni edit uzi na kwenda kusoma google, hiyo ni sumu ya gharama sana, na serikali dhalimu Kama ya CCM zimenunua sumu hizo Sana, na baadhi ya serikali Kama North Korea wana technology ya kutengeneza hiyo sumu.My Son drink water hivi unaielewa sumu uliyotaja au ume google tu ukaleta hapa kufurahisha watu?
Sumu hiyo unaielewa vizuri lakin na upatikanaji wake?
Hebu fanya assignment juu ya hilo alafu edit uzi wako,
Jf ina waelewa na wasomi wengi, ambao si wanaokubali mambo bila reasoning
Mtu mbaya
Uliwahi kukaa kwenye hivyo vikao au unaleta ujuaji tu ?Polonium210 sio sumu ya panya, ni sumu sensitive and delicate kama uranium nuclear molecules wala hapatikani kienyeji, ni sumu hatari kwa mbebaji zaidi ya kwa adui anaelengwa, ni sumu ghali kupindukia na inapatikana sehemu moja tu duniani kwa kibali cha huge group of people decision baada ya mlolongo wa vikao vizito.
Watu wameshaisave kwa matumizi ya baadae.Mods Naomba mtoe hiyo [emoji115] statement ya mtu, natumia computer ya cafe hiyo imekuja bahati mbaya wakati niki load hiyo picha ya polonium210.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matumizi ya baadae kwenye lipi sasaWatu wameshaisave kwa matumizi ya baadae.
Una uhakika ndugu??Mkuu ,matajiri wengi sana wamekufa na hiyo kitu,siwezi wataja hapa jukwaani ,utakula dawa kalikali,figo zitachoka ,eventually chali mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuite mbumbafu kama ni mtu mwelewa make counter arguments based on logical assumptions supported with evidence. "A weapon of the fool ni matusi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikao vipi na ujuaji upi? Mwizi hajatajwa mtu unaanza kubabaika hovyo.Uliwahi kukaa kwenye hivyo vikao au unaleta ujuaji tu ?
Wewe kama Uganda wanayo Tanzania inashindikanajeNo bongolander can have an access to this highly sophisticated poison!
Hakika mkuu,sema wengi wanawahifadhi kwa kusingizia maradhi mengine,bado raia wanaona kama ni fedheha kuonekana mtu kafa na hiyo kitu,kitu hiyo wengi wanaihusisha na uzinzi wakati si kweli kabisa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ushuzii tuPolonium210 is the Russia's deadly poison,the first public victim of this deadly poison is Alexander Litvenenko ,a former Russian Spy who was poisoned in London after the Russian government learnt that he was a Double agent who carried out the secrets of his nation to the United Kingdom.
It's believed that the chemical radioactive substances of Polonium210 were spilt into his tea as he was having breakfast in a certain Cafe in London.
Polonium210 has currently fallen under the hands of brutal regimes across the world,in order to use this poison, the relevant Spies have to receive special training on handling them.
The signs and symptoms of a person that has been poisoned by Polonium210 is failure of the kidney,liver and either lungs function, as well as the bone marrow.
There are no any medical treatment to a person that has inhaled or drunk polonium210.
And it's life duration can't exceed 138 days since the victim has taken the poison depending on the amount taken.
"Why did he humiliate us as we invaded his office? "
"Why did he put our videos public that displayed us being armed? "
"For this reason, Polonium210 will act on this. "
They plotted against him,and at last got it done.
RIP my Brother.
Mungu akusamehe dhambi zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mada inasemaje mkuuMtoa mada unaijua polonium....au kwasabab unajua ku google bas chochote waongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii quote hiko misplaced nadhani ilimlenga mtoa mada kwasababu Mimi na wewe tunamtazamo mmojaKama mtu kaandika upumbavu kwanini umjibu kwa hoja?