Polonium210 has killed him

Polonium210 has killed him

Nani mwenye uwezo wa kuibeba polonium hapa bongo, ukilaza wa kupata zero unafikiri ataiweza hiyo polonium? Yeye anaweza kuteka na kuua tu, ujanja wa sumu kwake bado sana.
Bro amekufa kwa starehe zake tu, pombe, madawa nk.
Unafikiri alivyombebesha mangwair madawa ilikuwa sahihi? Kula uliwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngwea tena??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water hivi unaielewa sumu uliyotaja au ume google tu ukaleta hapa kufurahisha watu?

Sumu hiyo unaielewa vizuri lakin na upatikanaji wake?

Hebu fanya assignment juu ya hilo alafu edit uzi wako,

Jf ina waelewa na wasomi wengi, ambao si wanaokubali mambo bila reasoning
Ni vizuri ungenipinga kwa Hoja kuliko kunitaka ni edit uzi na kwenda kusoma google, hiyo ni sumu ya gharama sana, na serikali dhalimu Kama ya CCM zimenunua sumu hizo Sana, na baadhi ya serikali Kama North Korea wana technology ya kutengeneza hiyo sumu.
ili itumike ni lazima mtumiaji awe well trained namna ya kujikinga, Duniani hapa kuna jipya lipi?
Pichani ni sumu ya Polonium210 ikiwa imefunguliwa kwenye container inamohifadhiwa.
Container Kama hiyo huuzwa $9,500 na ina uwezo wa kuua watu 50,mafunzo ya jinsi ya kutumia hiyo sumu ni $ 15,000 sasa mbona ni pesa kidogo tu hiyo kwa serikali
220px-Polonium.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 001 (2).jpeg
    001 (2).jpeg
    39.1 KB · Views: 77
Polonium210 sio sumu ya panya, ni sumu sensitive and delicate kama uranium nuclear molecules wala hapatikani kienyeji, ni sumu hatari kwa mbebaji zaidi ya kwa adui anaelengwa, ni sumu ghali kupindukia na inapatikana sehemu moja tu duniani kwa kibali cha huge group of people decision baada ya mlolongo wa vikao vizito.
Uliwahi kukaa kwenye hivyo vikao au unaleta ujuaji tu ?
 
Polonium210 is the Russia's deadly poison,the first public victim of this deadly poison is Alexander Litvenenko ,a former Russian Spy who was poisoned in London after the Russian government learnt that he was a Double agent who carried out the secrets of his nation to the United Kingdom.
It's believed that the chemical radioactive substances of Polonium210 were spilt into his tea as he was having breakfast in a certain Cafe in London.
Polonium210 has currently fallen under the hands of brutal regimes across the world,in order to use this poison, the relevant Spies have to receive special training on handling them.
The signs and symptoms of a person that has been poisoned by Polonium210 is failure of the kidney,liver and either lungs function, as well as the bone marrow.
There are no any medical treatment to a person that has inhaled or drunk polonium210.
And it's life duration can't exceed 138 days since the victim has taken the poison depending on the amount taken.
"Why did he humiliate us as we invaded his office? "
"Why did he put our videos public that displayed us being armed? "
"For this reason, Polonium210 will act on this. "
They plotted against him,and at last got it done.
RIP my Brother.
Mungu akusamehe dhambi zako


Sent using Jamii Forums mobile app
Ushuzii tu
 
Back
Top Bottom