Polonium210 has killed him

Polonium210 has killed him

Acha ramli chonganishi,Ruge kaanza kuumwa miaka miwili iliopita,wakati sumu yako unasema haizidi siku 138.
Ni kweli kabisa hajakosea haizidi hizo siku kama ikitumika ipasavyo nimekumbuka baada ya kuona hio idadi ya siku
 
Huk
No Noooooo! Siyo kweli labda angepigwa risasi, hapa TZ hatujafikia huko na hatuna technology ya kutumia hiyo kitu.
Huku Kanda ya Ziwa mbona kuna sumu ya mamba inatumika,na ni deadly kama hiyo Polonium?Na Ole sumu ya mamba ipakwe kwenye kikombe chako cha chai.Si rahisi kuidetect maana haiachi rangi,wala haina radha ambayo itakufanya ushtuke,na inaua pole pole ila kwa uhakika wa 10000%
 
Upinzani tumefikia kiwango cha juu sana cha upumbafu, polinium210 inauwa mishipa ya fahamu na ya moyo with a minute unakuwa umesha kufa kama hutapata matibabu kwa haraka,

Kuifadhi hyo sumu ni gharama kuisafirisha ni gharama unatakiwa ukodi ndege ikuletee hadi mguu mwako

Tuache kumchafua mtu kwa kisingizo cha chuki,

Ruge amefariki tumwombee tusimtese huko aliko
 
Rafiki yangu Mganda walizaliwa wanne kwao. Wazazi wote walikuwa na mafanikio mazuri kwenye taaluma zao na watoto walisoma English medium. Watoto wao wote nao wamefanikiwa vizuri ki maisha.

Watoto waliamua kuwa wanapeleka nyumbani milioni moja kwa mwezi bila kujali pensheni ya wazazi. Ingawa wazazi ni wastaafu walimudu maisha vizuri ndani ya ghorofa lao.

Waliajiri house girl, dada wa 30+ na alipewa guest wing akae.

Mama aliamua kurudi kwenye kazi yake akiwa mwajiriwa wa hospitali ya kanisa part time ili kuchangamsha mwili na akili. Kumbe Baba alianza ku chum chum dada na kumpa vijihela vyake vya pension. Dada alianza kujenga nyumba kwao. Aliponogewa na penzi alitafuta sumu akamuekea mama kwenye chai. Nayo ilikuwa slow killer.

🥺🥺🥺kwahiyo unataka kusema kamzimu ka kuuwawa kwa sumu hakajaondoka.
 
Huk

Huku Kanda ya Ziwa mbona kuna sumu ya mamba inatumika,na ni deadly kama hiyo Polonium?Na Ole sumu ya mamba ipakwe kwenye kikombe chako cha chai.Si rahisi kuidetect maana haiachi rangi,wala haina radha ambayo itakufanya ushtuke,na inaua pole pole ila kwa uhakika wa 10000%
Kwetu upareni kunayo inaitwa mwenda pole iyo inapakwa kwenye sahani ya kulia chakula au kikombe cha chai..huwezi kuigundua kwa rangi, harufu wala ladha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polonium210 is the Russia's deadly poison,the first public victim of this deadly poison is Alexander Litvenenko ,a former Russian Spy who was poisoned in London after the Russian government learnt that he was a Double agent who carried out the secrets of his nation to the United Kingdom.
It's believed that the chemical radioactive substances of Polonium210 were spilt into his tea as he was having breakfast in a certain Cafe in London.
Polonium210 has currently fallen under the hands of brutal regimes across the world,in order to use this poison, the relevant Spies have to receive special training on handling them.
The signs and symptoms of a person that has been poisoned by Polonium210 is failure of the kidney,liver and either lungs function, as well as the bone marrow.
There are no any medical treatment to a person that has inhaled or drunk polonium210.
And it's life duration can't exceed 138 days since the victim has taken the poison depending on the amount taken.
"Why did he humiliate us as we invaded his office? "
"Why did he put our videos public that displayed us being armed? "
"For this reason, Polonium210 will act on this. "
They plotted against him,and at last got it done.
RIP my Brother.
Mungu akusamehe dhambi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.kuwa nyuma ya keyboard kusikufanye uandike ujinga ukidhani unajificha.
 
Asante kwa kuichonganisha jamii,ubarikiwe

Nani mwenye uwezo wa kuibeba polonium hapa bongo, ukilaza wa kupata zero unafikiri ataiweza hiyo polonium? Yeye anaweza kuteka na kuua tu, ujanja wa sumu kwake bado sana.
Bro amekufa kwa starehe zake tu, pombe, madawa nk.
Unafikiri alivyombebesha mangwair madawa ilikuwa sahihi? Kula uliwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polonium210 is the Russia's deadly poison,the first public victim of this deadly poison is Alexander Litvenenko ,a former Russian Spy who was poisoned in London after the Russian government learnt that he was a Double agent who carried out the secrets of his nation to the United Kingdom.
It's believed that the chemical radioactive substances of Polonium210 were spilt into his tea as he was having breakfast in a certain Cafe in London.
Polonium210 has currently fallen under the hands of brutal regimes across the world,in order to use this poison, the relevant Spies have to receive special training on handling them.
The signs and symptoms of a person that has been poisoned by Polonium210 is failure of the kidney,liver and either lungs function, as well as the bone marrow.
There are no any medical treatment to a person that has inhaled or drunk polonium210.
And it's life duration can't exceed 138 days since the victim has taken the poison depending on the amount taken.
"Why did he humiliate us as we invaded his office? "
"Why did he put our videos public that displayed us being armed? "
"For this reason, Polonium210 will act on this. "
They plotted against him,and at last got it done.
RIP my Brother.
Mungu akusamehe dhambi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
hii nchi imekuwa ya kishetani hadi sasa natamani kuukana hata uraia wangu!
 
Kwa vile aliumwa kwa kipindi cha zaidi ya muda huo, please acheni hizi conspiracy theories za uongo.

Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa. Siku mtu unazaliwa, siku hiyo kifo chako pia kinakuwa kimepangwa na mpangaji ni Mungu.
P.
Sio kweli Pascal Mayalla: sio vifo vyote hupangwa na Mungu, kwa hiyo unataka kusema kifo cha Lissu kingekuwa cha Mungu sio, basi kama ni hivyo mungu ni jiwe letu na mwanae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polonium-210 is available from Oak Ridge National Laboratory at the cost of about $3200 per microcurie.
 
Back
Top Bottom