Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu pesa yake, na huyo partner ni maridhiano baina yao, au ufuska una tofauti gani na ngono? Ngono ni kinyume cha sheria? Party ni kinyume cha sheria? Labda kama walipanga kufanyia hadharani, ila kama ni kwa faragha sioni tatizoNi mesikia ktk PB ya clouds fm siku ya leo katika kusoma vichwa vya habari vya magazeti
Jeshi la Polisi Jijin Dar es salaam limefanikiwa kuzima party ya ufuksa ambayo ilipangwa kufanyika mbezi beach. Katika party iyo kiingilio laki na nusu una pata partner mmoja wa ku shiriki nae ufuksa
Kwa hatua hii ilipo fikia hakika hali ni mbaya kwa baadhi ya vijana kiimani na hata ki fikra za ulimwengu
Faragha iliisha walipoifanya public kwa kutangaza na kuweka viingilio.Sasa mtu pesa yake, na huyo partner ni maridhiano baina yao, au ufuska una tofauti gani na ngono? Ngono ni kinyume cha sheria? Party ni kinyume cha sheria? Labda kama walipanga kufanyia hadharani, ila kama ni kwa faragha sioni tatizo
kwahiyo kufanya party unatakiwa kuwa na vibali na mataarifa yote hayoNdio Sasa walitakiwa kuwa Na vibali na Taarifa Za Hao Wahusika watakao Kuwa Katika iyo part.Kinyume Cha Hapo..ni sawa Tu Part Ikifungiwa...
😂😂😂Vitasa vyakeee😂😂Bahati yako tu ni hivyo watu hawa onani humu ..
public ?? yani walipanga akufanya uwanjani barabarniFaragha iliisha walipoifanya public kwa kutangaza na kuweka viingilio.
Ni muhimu sana kama inajumuisha watu.kwahiyo kufanya party unatakiwa kuwa na vibali na mataarifa yote hayo
Public maana yake ni uma sio eneo. Hawakutakiwa kuutangazia uma kuwa kuna ufuska utafanyika. Ukishatangazia uma tayari umeihusisha Jamhuri maana faragha haina matangazo au promotion.public ?? yani walipanga akufanya uwanjani barabarni
ok kumbe tangazo lilisema kuna ufuska aokPublic maana yake ni uma sio eneo. Hawakutakiwa kuutangazia uma kuwa kuna ufuska utafanyika. Ukishatangazia uma tayari umeihusisha Jamhuri maana faragha haina matangazo au promotion.
Watamkumbuka makonda.Ni mesikia ktk PB ya clouds fm siku ya leo katika kusoma vichwa vya habari vya magazeti
Jeshi la Polisi Jijin Dar es salaam limefanikiwa kuzima party ya ufuksa ambayo ilipangwa kufanyika mbezi beach. Katika party iyo kiingilio laki na nusu una pata partner mmoja wa ku shiriki nae ufuksa
Kwa hatua hii ilipo fikia hakika hali ni mbaya kwa baadhi ya vijana kiimani na hata ki fikra za ulimwengu
Walichokifanya kina tofauti gani na dating sites mbali mbali kama badoo na zingine za kulipia?Faragha iliisha walipoifanya public kwa kutangaza na kuweka viingilio.
Kwanza Server za Badoo sidhani kama zipo Tz ila dating site ni tofauti na ufuska site japokuwa watu wanaweza zitumia kufanya ufuska kwa makubaliano baada ya kukutana faragha kupitia hiyo mitandao. Ni sawa na nyumba yako ukiwa unaingiza wanawake wanaojiuza kwa ajili ya uzinzi, UMA utaelewa ni nyumba yako kwa sababu hujitangazi ni faragha yako ila kiuhalisia hilo ni danguro. JAMHURI haitaingilia faragha yako. Ila ukitoa matangazo kuwa unahitaji wanawake wa kuzini nao kwa malipo humo kwenye nyumba yako basi JAMHURI itahusika.Walichokifanya kina tofauti gani na dating sites mbali mbali kama badoo na zingine za kulipia?