POLOSI WAZIMQ PARTY YA UFUKSA

HII HABARI IMEANDIKWA NA GAZETI LA MWANANCHI NA REDIO CLOUDS NDIO WALIITOA HUKO.
NI PARTY ILIYOKUA IKITANGAZWA MITANDAONI AMBAYO INGEFANYIKA TAREHE 23/12/2020 ENEO LA MBEZI BEACH PRIVATE HOUSE.
KATIKA PARTY HIYO WALIKUA WANAUZA TIKETI ZENYE BEI 2 TOFAUTI KUTOKANA NA MAHITAJI YA MTEJA.
TIKETI YA 150,000/= UNAPEWA MWANAMKE MMOJA WA KUSTAREHE NAE NA CHUMBA BURE.
TIKETI YA 300,000/= UNAPATA WANAWAKE WAWILI WA KUSTAREHE NAO NA CHUMBA BURE.
HIVYO POLISI WALIPOONA HILO TANGAZO NDIPO WALIPOWAHI KUWAKAMATA WAANDAAJI MAPEMA KABLA YA SIKU YA TUKIO.
 
Sasa mtu pesa yake, na huyo partner ni maridhiano baina yao, au ufuska una tofauti gani na ngono? Ngono ni kinyume cha sheria? Party ni kinyume cha sheria? Labda kama walipanga kufanyia hadharani, ila kama ni kwa faragha sioni tatizo
 
Hizo party ni hatarishi sana. Waandaaji most likely wangeokota milupo inayojiuza barabarani usiku na kuwapa fifty each then unatozwa 150,000/- wewe unayetaka kuingia huko. Fursa juu ya fursa
 
Sasa mtu pesa yake, na huyo partner ni maridhiano baina yao, au ufuska una tofauti gani na ngono? Ngono ni kinyume cha sheria? Party ni kinyume cha sheria? Labda kama walipanga kufanyia hadharani, ila kama ni kwa faragha sioni tatizo
Faragha iliisha walipoifanya public kwa kutangaza na kuweka viingilio.
 
fursa kwa serikali ktk biashara hizi waongeze mapato ya kodi kwa maana hawaachagi kitu kazi TRA
 
Ndio Sasa walitakiwa kuwa Na vibali na Taarifa Za Hao Wahusika watakao Kuwa Katika iyo part.Kinyume Cha Hapo..ni sawa Tu Part Ikifungiwa...
kwahiyo kufanya party unatakiwa kuwa na vibali na mataarifa yote hayo
 
Public maana yake ni uma sio eneo. Hawakutakiwa kuutangazia uma kuwa kuna ufuska utafanyika. Ukishatangazia uma tayari umeihusisha Jamhuri maana faragha haina matangazo au promotion.
ok kumbe tangazo lilisema kuna ufuska aok
 
Watamkumbuka makonda.
 
Nimeikuta hio clip twitter, mhh
Your browser is not able to display this video.
 
Walichokifanya kina tofauti gani na dating sites mbali mbali kama badoo na zingine za kulipia?
Kwanza Server za Badoo sidhani kama zipo Tz ila dating site ni tofauti na ufuska site japokuwa watu wanaweza zitumia kufanya ufuska kwa makubaliano baada ya kukutana faragha kupitia hiyo mitandao. Ni sawa na nyumba yako ukiwa unaingiza wanawake wanaojiuza kwa ajili ya uzinzi, UMA utaelewa ni nyumba yako kwa sababu hujitangazi ni faragha yako ila kiuhalisia hilo ni danguro. JAMHURI haitaingilia faragha yako. Ila ukitoa matangazo kuwa unahitaji wanawake wa kuzini nao kwa malipo humo kwenye nyumba yako basi JAMHURI itahusika.

Kama Unamfahamu yoyote anayetoa matangazo kwa uma kuwa anafanya ufuska na anapatikana kwenye hizo dating site we nenda peleka taarifa zake katika kituo chochote cha polisi watafanyia kazi haraka. Ila kama yupo anatafuta marafiki halafu mkikutana faragha ndo mnaamua cha kufanya hapo JAMHURI aihusiki

NB: JMT haijasajili ufuska site yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…