POLOSI WAZIMQ PARTY YA UFUKSA

Inasikitisha sana...

Kuna zile za elfu kumi kumi kiingilio, sijui ziliishiaga wapi...




Cc: mahondaw
 
Sasa kesi ikienda mahakamani kosa litakuwa nini na ushahidi upi? Maana hivi siku ya siku ukikuta jamaa kakaa mezani na mademu 2 whisk, wines na mazaga zaga kama yote, mziki mnenee say saa 5 usiku is that a crime?
 
Ni kosa la jinai kuishi kwa mapato ya umalaya kanuni ya adhabu iko wazi, na mmiliki wa hiyo private house au wapangaji wakamatwe
Wamewakuta wakitiana??? Wao wamewakamata organizers hata kabla ya tukio.
 
Kuandika shida au ndiyo mbwembwe
 
Wangewaacha tu
Ila na mm nimefikiria, wange waacha mpaka siku ya tukio ndio wangewakamata pamoja na wateja wao
Maana usikute wali andaa tangazo kuwazuga au kuwatapeli vijanaa wenye pupa ya ngono kwa maana kama wangenunua tiketi bac pesa zao zinge kwenda then siku ya tukio wateja wange zubaa mataa ya mbezi pale
 
Poloso wamefanya Jambo jema. Tumeambiwa tuishi kishetani hao Wala party kwa laki moja ni nani Hadi wapinge amri halali ya kusomeshwa namba
 
Hapo huna ulichosema, ni sawa na hujasema kitu.
1.) Kujitangaza unataka kufanya ngono na mtu kwa makubaliano maalum ni kosa?

2.) Kutangazia watu kuja kwenye sherehe na kupata wapenzi wa kufanya nao ngono kwa makubaliano maalum ni kosa?

3.) Kufanya ngono kwa faragha ni kosa?

4.) Kukodi/ kukodisha chumba/ nyumba/ sehemu ya faragha ili kufanya ngono ni kosa?

5.) Ufuska una tofauti gani na ngono nyingine yeyote ile inayofanyika faragha?

6.) Ufuska ni kosa kidini au kisheria?
 
Ni kosa kisheria kuendesha Danguro au biashara ya ngono...
Sijaona danguro hapo, nimeona watu wanaalikwa kuja kupata wapenzi wa kufanya nao ngono, sasa kosa ni kufanya ngono au kosa ni lipi? Na hiyo pesa ni kama pesa ya gesti tu, au ulitaka mtu akupe nyumba yake ufanye ngono bure?
 
Sema hatuelewani, maswali yako yote majibu yapo kwenye maelezo yangu ya awali.

1. Kujitangaza kibiashara au kwa urahisi kujifanyia promotion ya ngono ni kosa.

2. Kufanya sherehe ili uingize kipato kwa mtindo wa ngono na kujitangaza ni kosa

3. Kufanya ngono faragha si kosa

4. Si kosa

5. Ufuska namaanisha biashara ya ngono ni tofauti na ngono ya faragha.

6. Ni Kosa kisheria. sijaongelea dini za watu mm.

NB: HATUNA BIASHARA HALALI INAYOITWA BIASHARA YA NGONO TANZANIA HIVYO HUWEZI FANYA PROMOTION YA BIASHARA ISIYO HALALI KISHERIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…