Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Una hakiki vipi?
Achana na Diamond, Mwasi Kitoko, bambalager, Faru John na zingine...kuna inayoitwa "Toroka Uje" na nyingine ipo Arusha inaitwa "Kitobo"Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
Sio mpaka appKuna application maalum ipo play store unadown load kwenye simu.ukiwasha data unascan ile stemp na barcode inakuambia kama ni pombe feki au la.ni rahisi sana wapigie tra kwa maelekezo
Sisi wa tecno na itel italeta kwel kwa kutumia camera [emoji848]Sio mpaka app
Hata ukiscan code na camera ya simu inaleta details, labda sasa napo iwe ni aina ya simu kwa aina.
Moshi now kunanuka pombe chafuNipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga