DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Gloriamagret

Member
Joined
Jun 12, 2023
Posts
47
Reaction score
155
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
 
Kuna application maalum ipo play store unadown load kwenye simu.ukiwasha data unascan ile stemp na barcode inakuambia kama ni pombe feki au la.ni rahisi sana wapigie tra kwa maelekezo
 
Watanzania wengi wamepoteza Uzalendo maana vitu vya magumashi ni vingi sana na hii inachangiwa na vile CAG anavyotoa jinsi vile upigaji unavyofanywa na Viongozi wa Serikali. Yaani ni vitu vingi vya magumashi inasikitisha hapa Dar mpaka dawa za Binadamu zinatengenezewa vifungashio na zinasambazwa Hospital ya Taifa Muhimbili. 😭😭😭😭
 
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
Achana na Diamond, Mwasi Kitoko, bambalager, Faru John na zingine...kuna inayoitwa "Toroka Uje" na nyingine ipo Arusha inaitwa "Kitobo"

Hizo nafikiri wanaokunywa wanakunywa Spirit ile inayotumika kama sanitizer ya kuua bacteria

Mtu anakunywa halafu hapigi hata hatua 3
 
Kuna application maalum ipo play store unadown load kwenye simu.ukiwasha data unascan ile stemp na barcode inakuambia kama ni pombe feki au la.ni rahisi sana wapigie tra kwa maelekezo
Sio mpaka app
Hata ukiscan code na camera ya simu inaleta details, labda sasa napo iwe ni aina ya simu kwa aina.
 
Sisi wa tecno na itel italeta kwel kwa kutumia camera [emoji848]
 
Watu wa rombo unawajua kweli? Huo muda ya kuhakiki pombe za 2000 wataupata wapi sasa? Hao vijana walivyojichokea Wana muda hata wa kua na smartphone?
 
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
Moshi now kunanuka pombe chafu
 
Nilishangaa kuona kijana wa miaka kati ya 20 na 24 anashindwa kunyanyua ndoo ya maji lita 20 ikiwa na maji kwasababu amejichokea na pombe mpaka mwisho
 
Feki kwamba hazina stimu au zimekuaje maana kama wanalewa basi wametimiza malengo yao.!

Note: sishaur matumizi ya pombe.!
 
Back
Top Bottom