Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga