Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kila kitu feki. Mpaka papuchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada Gloria mbona tra walishatoa elimu hii wewe ukikuta wapigie tu simu uone dawa. sema wengi tunadharau utasikia nihakiki ya nini kwani inasaidia nini sijui uzalendo wa nini kumbe afya zetu na wenzetu tunazimaliza. Jana Morogoro wamedakwa watu wakifanya mchezo huo wa kuumizanaNipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
unatafutaje uhalali kwa kutumia simu mkuu!!Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga