DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

DOKEZO Pombe feki zimekithiri Moshi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
dada Gloria mbona tra walishatoa elimu hii wewe ukikuta wapigie tu simu uone dawa. sema wengi tunadharau utasikia nihakiki ya nini kwani inasaidia nini sijui uzalendo wa nini kumbe afya zetu na wenzetu tunazimaliza. Jana Morogoro wamedakwa watu wakifanya mchezo huo wa kuumizana
pombe feki 1.jpg
pombe feki 2.jpg
pombe feki 3.jpg
pombe feki 4.jpg
pombe feki 6.jpg
 
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara zinaharibiwa.serekali inakosa mapato bado hakuna hatua zinachukuliwa.
Serikali itoe mwongozo kila anayeninua pombe yenye stemp ya ya tra ahakikishe anapima uhalali wake kwa kutumia simu.akikuta ni feki asilipe na apige simu polisi.iwekwe namba maalumu ya kupiga
unatafutaje uhalali kwa kutumia simu mkuu!!
 
Na wewe ulienda kilabuni .ungetafuta team mkafanye ziara ya kustukiza
 
Back
Top Bottom