Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Siipendi…

Wine.. haswa lions hill/ 4 cousin
Sparkling wine… martin

Smirnoff black ice ila mikoba nimemuachia Mad Max
Flying fish
Budweiser

Tofauti na hapo ninywe tu cappucino au grand malt ya moto 😂😂
Budweiser rafik yang wa US akaniambia ndo kinywaji pendwa.
Nikahamia kwayo huku dar.
Dah! ya bongo inazidiwa na serengeti lager!
Kuna li primus nilikuwa napiga huko buja, badala ya kulewa unashiba!
 
Back
Top Bottom