Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Hanson Choice iko vizuri ila usizidishe kiwango...Kuna siku nilikutanan na manzi mmoja tukaeleweana sasa nikamwambia tukajuane vizuri si unajua ukishapiga vyombo unaongea facts tu, sasa bidada alipiga Hanson choice nzima kavu kilichofuata hata mimi nilimkimbia nikasema simjui πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Siipendi…

Wine.. haswa lions hill/ 4 cousin
Sparkling wine… martin

Smirnoff black ice ila mikoba nimemuachia Mad Max
Flying fish
Budweiser

Tofauti na hapo ninywe tu cappucino au grand malt ya moto πŸ˜‚πŸ˜‚
Smineoff black ice.

Umeugusa Moyo wangu
Depay
 
K Kwani mtu lazima unywe mapombe jaman, kunywa maji juisi lala.
 
Alimuradi ni beer tu ila senator,balimi,eagle,bingwa zikae mbali.
 

Attachments

  • IMG_20240518_122343_557.jpg
    3.2 MB · Views: 4
Smirnoff black ice πŸ‘,zile blended scotch whiskey au zile herbal liquor zetu aahh kwanza lazima Nile zaidi yaan nikinywa ndo hamu ya kula inazidi, alaf naamka furesh na kazi zinaenda Ila hizi zingine sawa lakini nikinywaa nashibaa tuuu tumbo linajaa na sifikii lengoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kumbe JF tuna mpaka wanywa gongo 😳😳😳😳😳
 
Jaribu hii ndio utaacha kunywa zingine zote
 

Attachments

  • IMG-20240518-WA0113.jpg
    70.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…