Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Filamu na kulala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema mfano, mkuu.Bongo zozo ndio mwenye hiyo starehe, wewe unaweza kuafford kusafiri kila wiki hata ukipata huo muda?
HahahaMamlaka ya uhamiaji wameamua kumweka lupango kwa mda😂
Yesu harudi tena mkuu kunywa bia.KUSOMA BIBLIA TU ILI NIMJUE YESU KRISTO BABA YANGU
Hatari sanaHahaha
Hapo kwenye kamjani ka Arusha tupo pamoja mkuuGood music
Movie
Masaji
Kamjani ka arusha.
Kitimoto
wewe mwenyewe mtamNapenda kula vitu vitamu 😋
Pamoja sana mkuu alafu sisi ni pipo tutakutana Mungu akipenda tulipuke
Dec tu apo tuna AGM yetu ya members wote wa jfPamoja sana mkuu alafu sisi ni pipo tutakutana Mungu akipenda tulipuke
Agm ndio nini mkuuDec tu apo tuna AGM yetu ya members wote wa jf
Annual General MeetingAgm ndio nini mkuu
Ehhh kukimbia umande naumbuka😂😂 tuombe uzima na mapafuAnnual General Meeting
Apeche alolo, naonagaa tuuUje ujoin na wewe mkuu,, tuendelee kufurahia maisha😋😋