Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Mim ni mwenye dhambi, napenda vyote mmetaja hapo juu.

Hata sijui napenda nin, ila kunywa nipo, mazoez nipo na kukamatia hizo babez fresh tuu. Najiogopa maana nazan napenda kilakitu sababu ni mtafiti na msafiri wa maarifa.
 
Ah mi naonaga mara nyingi ni tambi mkuu

Usinambie una chopsticks kwenye kabati 😁😁😁
Nimecheka🤣🤣🤣🤣
Chopsticks tena?hunitakii mema itakua mana zile kuaibika ni njenje!
Mi nasemea kula kimchi na kitimoto ya kuchoma mwenyewe na zile lettuce mbichi
Kuna restraurant yao iko nyuma ya saifee hospital panaitwa goong,
Kama uko dar pita hapo ujionee seoul city in dar es salaam!
 
Aisee ngoja tuone hayo makitu yanakuaje nikija hapo mjini maana sahivi nipo ndani ndani huko

Bei zimekaaje kwanza usikute bei nazo za kikorea nipitie lettuce sokoni😄😄😄
Kitimoto james anacho🙃🙂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bei zimechangamka
Mi mwenyewe nikizuru dar hilo ndo chaka langu
Humo utapata adi soju kama we ni mnywaji,ukitaka kufurahia menu andaa kama 40k peke ako
Yani hapo utapata side dishes zoteee
 
Back
Top Bottom