Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Haha

umetoka kumkatalia Ms Eyes huko juu… huwezi sema kula starehe maana itakubidi kila siku/ after 48hrs ule hiyo starehe yako… labda kukinai kusiwe sambamba nawe
kasema ni kula vitu vitam tam ndio starehe yake, nmemkatalia kwa sababu kasema anaweza pitisha 2 weeks bila kula hivyo vitam tam vyake.
 
Situmii pombe,sigara sivuti, club siendi kwasababu nachukia sana kelele hata nikiskia kelele za mtu akigombezwa/kugomba hovyo tu zinanikera naondoka hiyo sehem

Starehe yangu ni mpira ila sibet na timu yangu ni manutd imenitesa kinyama imefika hatua siumii tena hata ikifungwa na mechi siangalii vilevile

Hakuna kinachonipa raha kwa sasa
We jamaa uko kama mimi.

Na mimi timu yangu ni ManU.
Siumii tena ikifungwa. Ila siachi kuangalia mechi kamwe.
 
Back
Top Bottom