The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Huwezi kudefine starehe ni nini,Mfumo wetu wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana. Vijana wetu hawajui kabisa starehe ni nini??
Kila mtu ana starehe yake,
Starehe ni kile kitu ambacho muhusika ana enjoy yeye mwenyewe wakati anakifanya au wakati anakitumia,Binadamu hatufanani,starehe yako sio lazima iwe pia ni starehe kwa mwingine.