Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Mfumo wetu wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana. Vijana wetu hawajui kabisa starehe ni nini??
Huwezi kudefine starehe ni nini,

Kila mtu ana starehe yake,

Starehe ni kile kitu ambacho muhusika ana enjoy yeye mwenyewe wakati anakifanya au wakati anakitumia,Binadamu hatufanani,starehe yako sio lazima iwe pia ni starehe kwa mwingine.
 
Starehe zangu kubwa

1. Mtoto wa mama mkwe - Hakuna ninachokipenda kuzidi, wakati wetu mimi nae ndio naiona thamani ya maisha.

2. Kupika chakula kizuri watu wale wafurahi

3. Mpira- Team zangu Yanga & Arsenal zikishinda ni burudani tosha.

4. Usafi- Napenda mazingira na kila kitu kiwe safi, napata amani sana.
Namba 4 tunafanana.
 
Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.

Je kuna ukweli wowote katika hili?

We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi

Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
- Kufanya mazoezi
- Kuangalia Movie
- Kuchart na marafiki,
- Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Unapiga punyeto?
 
Mazoezi
Running with wife
Kuogelea
Good music mziki mkongwe km rnb, country,.....

Football--EPL, bundesliga,laliga seria a eredivisie

Reading books

Kwenda beach na familia na kupata chakula

Travelling
Experience the nature

Kwenda kutembelea orphan na wasiojiweza

As I grow older pombe nakunywa nikiwa na old friends tu once or twice a month
 
Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.

Je kuna ukweli wowote katika hili?

We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi

Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
- Kufanya mazoezi
- Kuangalia Movie
- Kuchart na marafiki,
- Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Siyo kuchart ni kuchat.
 
Back
Top Bottom